UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!


Acheni mambo yenu ya kidikteta,
Kazi ya usafi wa jiji iko chini ya Halmasahuri ya jiji la Dar es salaam, wewe unatozwa kodi ya majengo na hiyo pesa ndio inatakiwa kufanyia hiyo kazi

Mbona miji kama Arusha na Moshi ipo safi sana na hakuna raisi anayelazimishwa kufanya usafi?

Nchi inakwenda mbele nyie mko bize kuirudisha enzi za ujamaa,
 
Kuyapata hayo ma dustbin sasa. Utatembea Posta mpaka Kimara mwisho umeshika tu hilo ganda mkononi.
Hizo ndio changamoto za kuangalia na kushauri mamlaka husika...

RC Makonda hakikisha kila maeneo yote ya jiji yenye mkusanyiko wa watu wanaofanya shughuli fulani kunawekwa dustbin...hii itasaidia sana kuweka jiji safi...

Pia dustbin hizo ziwe mobile ili ziweze kuburuzwa kwa haraka hadi kwenye magari ya taka...
 
Aina ya upumbavu unaokuingia...ni ngumu kukusaidia.
 
Aina ya upumbavu unaokuingia...ni ngumu kukusaidia.
 
Aina ya upumbavu unaokuingia...ni ngumu kukusaidia.
Asante kaka, hakuna hata jiji moja duniani ambalo raia/wakaazi wake wanashurutishwa kufanya usafi, kama jiji ni chafu na hawawezi kufanya kazi wawape watu tender ya kusafisha jiji

Wewe labda ni mgeni wa Dar, miaka hiyo kulikiwa na gari la matangazo linapita mitaani na kuwaambia watu waache milango na madirisha wazi kuna gari la fogging linapita kumwagia dawa ya mbu, kulikuwa na watu wanapita vyoo vyote vya mji wa Dar kumwagia dawa, kulikuwa na watu wako bize kufyeka majani mji mzima, kulikuwa na magari ya taka yaliyokuwa na vifaa vya kisasa,

Kazi ya raia ni kusafisha viunga vyako na kuweka takataka sehemu husika ili city waje kuchukua

Acheni ushamba njie,
 
HAKUNA USAFI WOWOTE HAPO! MISIFA YA KIJINGA TU! NGOJA UKAWA WALETE MBINU ZA KISASA ZA KUHALIBU TAKA.!
 
kila mtu afanye usafi eneo Lake kila siku, sio usanii Wa maadamano na fagio mara moja kwa mwezi
 
Naiona Tz iliyojaa vijana wenezi wa vyama vya siasa mitaani.
 
Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka

Heeeee, kwani maendeleo ni nini jamani?! Duh, kazi ipo kwelikweli? Maendeleo ni neno pana linalojumlisha mambo mbalimbali uakiwemo usafi, ustaratibu, kipato katika uchumi na kadhalika. Sasa ni maendeleo gani hayo mtu ana gari, ndege na lundo la mihela lakini analala kwenye kinyesi!?
 
Aina ya upumbavu unaokuingia...ni ngumu kukusaidia.
Ngoja tukufahamishe basi uelewe shida ya uchafu wa Darr iko wapi,

Takataka zinagawanyika kwenye makundi tofautitofauti
1. Kuna taka maji, hii inajumuisha mabaki ya vyakula, maji ya vyooni,
2. Kuna taka ngumu ambazo zinaungua kirahisi, hii inajuisha mabaki ya mbao, maguo ya zamani, magodoro nk
3. Taka ngumu ambazo haziungui kirahis, mabaki ya mabati, vyuma including magari mabovu nk
4. Kuna taka zinazoungua lakini zinzhitaji uunguzwaji special, hii inajumuisha Matairi ya zamani, maplastic nk
5. Kuna taka zenye asili ya "Mafuta" Hydrocarbon, hii ni pamoja na mabaki ya oil chafu, marapurapu yenye grease nk

Sasa kwenye mji wowote ukioendelea kuna kuwa na proper segregation ya hizo taka, mji wa Dar hauko hivyo Taka zote zinakusanywa pamoja, unaenda kuzibua mifereji unakutana na taka zote nilizoziorodhesha hapa juu, ukishajibua mfereji unaweka taka juu pembeni ya mfereji, zinakaa mwezi mzima hakuna wa kuzichukua hizo taka kisha zinatudi tena mferejini

Usiwe unafanya kitu kwa kuambiwa tu bila kutumia akili hata kidogo, umekuja mbio kufungua uzi eti UKAWA hawataki, wewe unajua unachokifanya, wewe huna kazi?, kama unayo mbona unaingilia kazi za city council? Sio kila anayepinga hili ni UKAWA
 
Tusubiri mikakati yao yenye tija. Mambo ya maandamano wafanye wenyewe. Si kuna watu walishapewa tenda za usafi wa jiji. Let them do it.
 
Jipu ilo tyari
 
Kila mji una namna yake ya kupambana changamoto..,ninachokuambia kwa sasa hata wananchi hawana tabia ya usafi..inahitajika washirikishwe na viongozi ili kujenga tabia hata nyenzo zinapokuwepo inakuwa rahisi kufanikisha.
 
Usipojenga tabia ya kushirikisha wananchi ambao ndio wadau wakubwa lazima ushindwe...kila mtu atekeleze wajibu wake.Hizo theory unazosema hazitekelezeki usipokuwa na jamii iliyoshirikishwa.
 
Kila mji una namna yake ya kupambana changamoto..,ninachokuambia kwa sasa hata wananchi hawana tabia ya usafi..inahitajika washirikishwe na viongozi ili kujenga tabia hata nyenzo zinapokuwepo inakuwa rahisi kufanikisha.
Pipi..!!
Amuelewani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…