UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

Hivi ule uchafu mlioukusanya na Magu mmeshautoa tangu mwaka Jana?

UKAWA hawafanyi maigizo... Wameagiza nagari ya kisasa ya taka kwa kila Kata

Nyie endeleeni kupiga picha maana usafi ni Tabia sio show offs
 
Amani iwe kwenu.

Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.

Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?

Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.

Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.

Ushauri.

Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.
Wazee wa kufuata upepo kwa hili umebugi jipange tena
 
Ccm acheni kuleta chuki katika taifa. Jana ukawa wameshiriki vizuri kabisa kwenye usafi. Meta Mada utakuwa umepigwa na mmeo si bure
Kubenea,Mnyika,Mtulia na Mwita walikuwa maeneo gani?
 
Usafi ni tabia inayojengwa sio usanii wa kubeba makamera na kuongozana nayo kufagia. Nakubaliana na kukataa tabia za kinafiki nafiki zinazochukua kasi ya ajabu katika nchi hii.
Tusipoangalia itafika mahali kila mtu atakuwa mnafiki Tanzania nzima.
Kamera kwenye Usafi hapana ila bungeni ndio....!!

Kweli kizazi cha wanafiki
 
Yule mwenyekiti wao wa taifa wanamfuata kila analosema labda amewakataza
 
Amani iwe kwenu.

Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.

Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?

Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.

Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.

Ushauri.

Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.

Ukweli ni kwamba watumishi serikalini ndio waliochukua tenda za usafi hapa jijini ikiwa pamoja na kumiliki kampuni za kuzoa takataka na hivyo hulipwa fedha nyingi sasa inakuwaje wananchi watumike kufanya usafi?je sio kwamba hizo kampuni zinalipwa bure bila kufanya hiyo kazi?
 
Hawa jamaa sijui nani yupo kwenye bongo zao
Du! Naamini ni wana siasa VILAZA dunia nzima kuwahi tokea
 
Hawa jamaa sijui nani yupo kwenye bongo zao
Du! Naamini ni wana siasa VILAZA dunia nzima kuwahi tokea
9753d8a97c523aaac674650ec28d3067.jpg
 
Gari la taka lilikuwa linakuja mara moja kwa wiki siku hizi linakuja mara moja kwa mwezi tena kwa bahati, kata haina dampo la kutupa takataka..kinachotokoea takataka zimezagaa mitaani toka siku ya usafi.
Vitu vingine inahitaji kujipanga.
 
Back
Top Bottom