Amani iwe kwenu.
Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.
Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?
Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.
Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.
Ushauri.
Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.
Wameona ni mpango wa kijinga usio na maana wala tija katika maendeleo!
Uchafue mazingira mwezi mzima halafu usafishe kwa mwezi mara moja!. Hivi wewe una akili timamu hata kuleta kiuzi mshenzi chako hapa?
Ungelikuwa na ufahamu, ungeliomba ushauri ili ujue njia sahihi ya kubadilia mazingira na kuhakikisha ni masafi kila siku kuliko hii aibu ya usafi wa ccm. UKAWA wanajua, wangekuambia na bila shaka ungeon maana halisi ya elimu!.
Vinginevyo, huna maana nenda kalale!.