UKAWA the geniusity of minority

UKAWA the geniusity of minority

Wewe ni shetani na unamawazo ya kishetani na unawaza kama alivyosema mzee mkapa kuwa wapinzani ni malofa na wapumbavu. Ukawa wangekuwa wa maana tu iwapo;
1.Wasingekaribisha mwizi waliyesema ni fisadi
2. Baada ya kushindwa uchaguzi wangekubali matokeo na kukubali kushirikiana na Dr Magufuli bila kujali itikadi
3. Leo hawakuwa na haja ya kuzomea na kupiga kelele utafikiri wamevaa pampas wote

kwa ufupi CCM kwa sasa ndiyo chama pekee chenye kubeba matumaini ya watanzania. Wapinzani sasa ni wanaharakati wanasubiri CCM ikosee waseme , yaani wanaishi kishetani shetani (maana shetani huwa hamuwezi mtu wa Mungu ila husubiria akosee ili amshambulie)

ccm haiwezi kuwa tumain la Watz isipokuwa Magufuli! Na nasema magufuli ameteuliwa na ccm kwa sababu ya Upinzani, kwa hiyo tumaini la Watz itabaki kuwa upinzani
 
Hayo ni mawazo yako ambayo yanafanana na ya wana CCM wengi.....UKAWA wanawawakilisha watu wengi tu waliowapigia kura...

Mimi niliewapigia kura na hata wezangu nilionao hapa wote tumefurahi walichofanya wawakilishi wetu....

Nyie furahieni walichofanya wawakilishi wenu....CCM na ACT.......

MPUMBAVU WEWE, MNACHUKUA POSHO, MNAFUNGA SAFARI KWENDA BUNGENI, MNAFNYA UCHAGUZI WA SPIKA, NAIBU SPIKA, WAZIRI MKUU( MTEULIWA WA RAIS) , KISHA ANAINGIA RAIS MNAZOMEA NA KUPIGA KELELE?? KISHA MNAENDA BAA KUMALIZIA HOTUBA

TRUE GENIUSITY OF MINORITY NI KUWAAMBIA WANANCHI HAMKUBALIANI NA ZANZIBAR, HAMUMKUBALI MAGUFULI, HAMCHUKUI POSHO NA BUNGENI HAMUENDI!! THAT WAS EXCACTLY YOU WERE SUPPOSED TO DO

OTHERWISE NI UPUMBAVU NA KUDANGANYA TOTO

hope umeelewa sasa

acha kuwa na akili nyembamba
 
Hayo ni mawazo yako ambayo yanafanana na ya wana CCM wengi.....UKAWA wanawawakilisha watu wengi tu waliowapigia kura...

Mimi niliewapigia kura na hata wezangu nilionao hapa wote tumefurahi walichofanya wawakilishi wetu....

Nyie furahieni walichofanya wawakilishi wenu....CCM na ACT.......

posho baba poshooooo
 
sidhani kama kichaa anaweza tambua kua yeye ni kichaa, hata ukimwambia kua wewe ni kichaa atakushangaa sana. ndivyo ukawa mlivyo hamuwezi tambua damage mliyoipata kwenye reputation yenu hata mkiambiwa hivyo.
 
Endelea kushabikia uozo. Uzuri Watanzania walio wengi wanajua kuwa wapinzani wa UKAWA ni wahuni tu na hamna maana yoyote kwa taifa vilaza nyinyi.

sasa wewe, habari za kusema "wapinzani wa ukawa ni wahuni" Je,uhuni wao umeanza lini? kipi kinachowafanya waonekane wahuni? je,wanainchi waliowachagua {ukawa} hawakuwajua toka hapo awali?
 
hotuba ya jana imepuuza yote yaliyofanywa na ukawa, ila ipo siku magufuli atahitaji watu hawa kufanya nao kazi
 
Kosa pekee la wana mabadiliko/UKAWA wamezaliwa mapema mno kabla utamaduni wa demokrasia hauja jengeka kwenye moyo wa watanzania in general na viongozi in particular.
 
UKAWA pekee ni watu walioyoka hadharani na kupambania haki ya watu wa Zanzibar bila aibu wala uoga.
Wanafiki tu watadharau ujumbe uliowasilishwa na UKAWA.
 
Wewe ni shetani na unamawazo ya kishetani na unawaza kama alivyosema mzee mkapa kuwa wapinzani ni malofa na wapumbavu. Ukawa wangekuwa wa maana tu iwapo;
1.Wasingekaribisha mwizi waliyesema ni fisadi
2. Baada ya kushindwa uchaguzi wangekubali matokeo na kukubali kushirikiana na Dr Magufuli bila kujali itikadi
3. Leo hawakuwa na haja ya kuzomea na kupiga kelele utafikiri wamevaa pampas wote

kwa ufupi CCM kwa sasa ndiyo chama pekee chenye kubeba matumaini ya watanzania. Wapinzani sasa ni wanaharakati wanasubiri CCM ikosee waseme , yaani wanaishi kishetani shetani (maana shetani huwa hamuwezi mtu wa Mungu ila husubiria akosee ili amshambulie)
Huwezi kumjua shetani kama na wewe sio shetani
 
UKAWA pekee ni watu walioyoka hadharani na kupambania haki ya watu wa Zanzibar bila aibu wala uoga.
Wanafiki tu watadharau ujumbe uliowasilishwa na UKAWA.

Mkuu tatizo la ukawa vigeugeu toka lini wamekuwa watetezi wa wazanzibar au wanamtetea swahiba wao Maalim? usiwalie yamini ukawa utaumbuka
 
Huwezi kumjua shetani kama na wewe sio shetani

wameshaathirika imagine mtu anapewa hela kila siku adhihaki ,atukane na kusema uwongo na sheria inamlinda ya mtandao kisa anatetea chama tawala bila kuja anapata mtindio kwa kujenga anachofanya ndio sawa kumbe anageuzwa tahira kwa kutumia sarafu
 
sidhani kama kichaa anaweza tambua kua yeye ni kichaa, hata ukimwambia kua wewe ni kichaa atakushangaa sana. ndivyo ukawa mlivyo hamuwezi tambua damage mliyoipata kwenye reputation yenu hata mkiambiwa hivyo.

Damage kwa wanaccm na si wana UKAWA. Wwe ni gamba na hatutarajii maoni yoyote positive kwa UKAWA.Sijui reputation gani iliyokuwa damaged. Kuna mengi tunawafundisha ccm mnajitoa ufahamu mnavaa miwani ya mbao,mnasubiri atokee Magufuli arudie yaleyale ya UKAWA muanze kushangilia!
 
Mkuu tatizo la ukawa vigeugeu toka lini wamekuwa watetezi wa wazanzibar au wanamtetea swahiba wao Maalim? usiwalie yamini ukawa utaumbuka

Tatizo ni pale unapoiongelea UKAWA huku huifahamu. Jiulize UKAWA ni akina nani kwanza!
 
Back
Top Bottom