UKAWA the geniusity of minority

UKAWA the geniusity of minority

Endelea kushabikia uozo. Uzuri Watanzania walio wengi wanajua kuwa wapinzani wa UKAWA ni wahuni tu na hamna maana yoyote kwa taifa vilaza nyinyi.

Wahuni waligombea na wastaarab wahuni wakashinda au bungeni wamefikaje hebu funguruka zaidi mkuu! Tuseme Bulaya Mhuni kagombea na Wasira Mstaarabu... harafu.... !! Sielewi hapa! Au Uhuni tafsiri yake nini? Nadhani waliowachagua(wananchi) wanawafahamu zaidi yetu tunaopiga domo hapa kwenye keyboards!
 
Wewe ni shetani na unamawazo ya kishetani na unawaza kama alivyosema mzee mkapa kuwa wapinzani ni malofa na wapumbavu. Ukawa wangekuwa wa maana tu iwapo;
1.Wasingekaribisha mwizi waliyesema ni fisadi
2. Baada ya kushindwa uchaguzi wangekubali matokeo na kukubali kushirikiana na Dr Magufuli bila kujali itikadi
3. Leo hawakuwa na haja ya kuzomea na kupiga kelele utafikiri wamevaa pampas wote

kwa ufupi CCM kwa sasa ndiyo chama pekee chenye kubeba matumaini ya watanzania. Wapinzani sasa ni wanaharakati wanasubiri CCM ikosee waseme , yaani wanaishi kishetani shetani (maana shetani huwa hamuwezi mtu wa Mungu ila husubiria akosee ili amshambulie)

ukweli na uwongo haukai pamoja .,elimu elimu elimu
 
Ccm hawajitambui,wanajichekesha na kura za wizi,mda utafika hawataweza kuiba tena.Hapo watajuta na kusaga meno,kwamana nadhara yatokanayo na ubabe wao hawataweza kuyadhibiti tena.Prof Kabudi alisema "Nibora ukawasikiliza watu wachache wanaotaka mabadiliko,kuliko kuwasubiria wengi wakiyataka mabadiliko"
Hili linadhirika kwa Zanzibar,wengi wameyataka mabadiliko na tume imeyafuta matokeo.Hali hiyo itafika na huku Tanganyika,sijui mtakimbilia wapi mashetani nyie!
 
Hivi unadhani waliowachagua hawalipi kodi!? Kama wanalipa kodi basi ukawa ni haki yao kuchukua posho maana posho za wabunge zinatoka katika kodi za watanzani na wala hazitoki kwa wanachama wa CCM pekee.
Jibu sahihi kabisa tena Sugu kachaguliwa na walipa kodi wengi zaidi kuliko mbunge yeyote wa CCM.
 
MPUMBAVU WEWE, MNACHUKUA POSHO, MNAFUNGA SAFARI KWENDA BUNGENI, MNAFNYA UCHAGUZI WA SPIKA, NAIBU SPIKA, WAZIRI MKUU( MTEULIWA WA RAIS) , KISHA ANAINGIA RAIS MNAZOMEA NA KUPIGA KELELE?? KISHA MNAENDA BAA KUMALIZIA HOTUBA

TRUE GENIUSITY OF MINORITY NI KUWAAMBIA WANANCHI HAMKUBALIANI NA ZANZIBAR, HAMUMKUBALI MAGUFULI, HAMCHUKUI POSHO NA BUNGENI HAMUENDI!! THAT WAS EXCACTLY YOU WERE SUPPOSED TO DO

OTHERWISE NI UPUMBAVU NA KUDANGANYA TOTO

hope umeelewa sasa

acha kuwa na akili nyembamba

Wao hawakutoka nnje kwa sababu JPM yupo bungeni. Wao walipinga uhalali wa shein kuingia bungeni ilihali mda wake wa kuwa raisi umeisha. Waliandika barua kwa spika na haikujibiwa. Kuna njia nyingi za kudai haki na wao hiyo ndo waliona inafaa maana walijua wawakilishi wa mataifa mbalimbali walihudhuria kikao hiki cha bunge.
 
Ila bado sana kwa kuwa aslilimia kubwa ya jamii haielewi haya,haielewi hata haki zao za msingi inasikitisha sana kwani hata wale wachache wanaojitolea wasipopata support wanakuwa na wakati mgumu sanahebu fikiria kuna mijitu inaona upinzani kutoka ni swala baya.
xaracter,watu waonao upinzani kutoka ni suala baya usiwalaumu bali waelimishwe. Hebu pata mfano huu: Miaka kadhaa enzi hizo Bosi wetu aliandaa cocktail party ya watu wapatao 200 hivi. Mimi na rafiki yangu tukawa watu wa kwanzakwanza kufika kwenye party hiyo. Tulikuta vinywaji vya kumwaga lakini viti vya kukalia havikufika hata kumi! Rafiki yangu akasema bosi amechemsha kwa kutoandaa viti vya kutosha. Kesho yake wengi tuliowasimulia tukio hilo tuliwaaminisha kwamba bosi alijiaibisha. Kumbe haikuwa hivyo, bali sisi hatukuelewa taratibu za cocktail party kwani hazikuzoeleka katika utamaduni wetu. Kumbe sisi na wale tuliowasimulia na kuwaaminisha indio hatukuwa sahihi! Wengi huwa tunadanganyika hivyo tukutanapo na jambo gani. Hatujisumbui kutafuta na kupata ukweli zaidi. Kama rafiki yangu aliyesema bosi kachemsha nami na wengine tukaamini hivyo kiurahisi ndivyo watu wawezavyo kuaminishwa kiurahisi kwamba hao UKAWA wamechemsha. Je,utamaduni wa mabunge ya vyama vingi tunaujua???
 
hahahahaaaaa eti nawe wajiita great thinker....poleni sana ukawa
 
Wahuni waligombea na wastaarab wahuni wakashinda au bungeni wamefikaje hebu funguruka zaidi mkuu! Tuseme Bulaya Mhuni kagombea na Wasira Mstaarabu... harafu.... !! Sielewi hapa! Au Uhuni tafsiri yake nini? Nadhani waliowachagua(wananchi) wanawafahamu zaidi yetu tunaopiga domo hapa kwenye keyboards!

Mtu muhuni uchaguliwa na muhuni mwezake tu. Kilaza uchaguliwa na kilaza mwenzake tu. Lowassa ni uozo mtupu na waliompa kura ni wanywa viroba ambao kwenye jamii tunawaona ni uozo tu. Nadhani umeelewa. Kwenye jamii uozo na uhuni umetofautiana....mfano Mbeya mjini kwa Sugu watu walevi wa viroba wapo wengi kuliko Dodoma mjini. Pata picha hapo.
 
anzeni kufikiri na kuwaza mawazo mapya huu ni uongozi mpya zama za jk imekwisha

fikirieni kimagufuli sio ki jk

ova
 
Mtu muhuni uchaguliwa na muhuni mwezake tu. Kilaza uchaguliwa na kilaza mwenzake tu. Lowassa ni uozo mtupu na waliompa kura ni wanywa viroba ambao kwenye jamii tunawaona ni uozo tu. Nadhani umeelewa. Kwenye jamii uozo na uhuni umetofautiana....mfano Mbeya mjini kwa Sugu watu walevi wa viroba wapo wengi kuliko Dodoma mjini. Pata picha hapo.

upo sawa mimi ni daktari naweza kukusaidia
 
Mtu muhuni uchaguliwa na muhuni mwezake tu. Kilaza uchaguliwa na kilaza mwenzake tu. Lowassa ni uozo mtupu na waliompa kura ni wanywa viroba ambao kwenye jamii tunawaona ni uozo tu. Nadhani umeelewa. Kwenye jamii uozo na uhuni umetofautiana....mfano Mbeya mjini kwa Sugu watu walevi wa viroba wapo wengi kuliko Dodoma mjini. Pata picha hapo.

Ndo hivyo tena Wahuni(Wananchi) wameshaamua kuwaingiza Wahuni(wawakilishi wao) Bungeni!
Upende Usipende!
 
Ni kweli kabisa mleta mada,ni wachache sn wanaelewa kinachofanywa na hawa watu.Tutaelimisha wajinga wote waliobaki nyuma
 
Maoni ya wananchi ya katiba mpy yapo wapi?Ni nani asiyejua tawala zinalazimishwa hizi?"STUPID INTELLECTUALS AT THE HILL"
 
mimi kama mzalendo wa taifa langu...
Mzalendo anaechagua jiwe. Huo ndio uzalendo gani sasa? Eti rais wangu namjua. Rais gani huyo; hebu tuambie na sisi tupate "ufunuo". Rais wa Tanzania ni Dr. J.P.J. Magufuli, nukta. Utake usitake!
 
Maoni ya wananchi ya katiba mpy yapo wapi?Ni nani asiyejua tawala zinalazimishwa hizi?"STUPID INTELLECTUALS AT THE HILL"

by words and laws eti wanacheka maybe muzbags tutaelewa discpline ina tafsiri ipi
 
Mzalendo anaechagua jiwe. Huo ndio uzalendo gani sasa? Eti rais wangu namjua. Rais gani huyo; hebu tuambie na sisi tupate "ufunuo". Rais wa Tanzania ni Dr. J.P.J. Magufuli, nukta. Utake usitake!

MUNGU anatosha kuwa raisi wangu katika tanganyika nayoishi,sitawaliwi na viumbe period
 
ni watu wachache sana tena wenye akili ndio wataelewa kuwa walichokifanya ukawa ni sahii..."it was their perfect timing kuiambia dunia kuwa hawakubaliani na uporwaji wa democrasia uliotokea zanzibar...hawakuwa against magufuli coz legally he is the president..."ukweli utabaki pale pale,there will be no peace in zanzibar kama malim hatopewa ushindi wake..
 
Back
Top Bottom