UKAWA the geniusity of minority

UKAWA the geniusity of minority

mimi kama mzalendo wa taifa langu mwenye kuelewa nini maana ya haki,utawala bora,demokrasia,sheria ,utu,upendo na falsafa za hekima na busara niko radhi mwanangu wa pili nimpatie jina "ukawa locken" maana i feel pride kuwaona watu wachache wenye hofu ya mungu kutetea haki ya wanyonge ilhali wengi wenye ngozi ya kondoo kunufaika kwa migongo ya kiini macho na propaganda ,kiukweli kikiem kwangu ni kama dhambi ni kama moto wa jeha ila upinzani ni amani ya nafsi,furaha ya moyo na raha katika maisha yangu maana hufanya uhalisia katika maisha halisi sio maigizo kwenye uhalisia,serikali yangu mi naijua mwenyewe binafsi,rais wangu namjua,tanganyika naishi ila Mungu hatowasahau wema milele

Bahati mbaya sana unajiita reality. Wewe sio reality. Unaandika upofu wa usioyaona.
 
Muda wote wasio mashetani mbona wanakata watu vichwa na mashoka??
Kuna ushetani zaidi ya huo??
Misri Mbaraka alikuwa akishinda kwa 80% kumbe uongo na dhuluma, watu walichoka, yuko jela na wanae!!
Dhuluma zina mwisho, jifurahishe tu iko siku Ukombozi utafanikiwa!!
 
Last edited by a moderator:
CCm ni chama pekee duniani ambacho wakuu wake wamekuwa wagumu kuondoka madarakani hata kama ulimwengu wote umeona walivyoshindwa. CCm ni chama pekee kinacholazimisha kutawala raia zake kimabavu bila ridhaa halali za raia zake. ccm ni chama pekee ambacho viongozi wake hawaoni mbele zaidi ya mitumbo yao. CCM ni chama pekee duniani kisichojali haki za raia. CCM ni chama pekee kischokuwa na dira. CCM ni chama pekee kinachobeba matumaini ya wachumia tumbo kama wewe. CCM hakika ni janga la taifa.
 
Kwann watu wanapenda kutukana ? Kwan kumwelimisha mwenzako kunaitaji matuc! Kama yanahitajika bac na walim wanapaswa kutumia matuc wanapofuneish mambo mbalimbali
 
The heading could also look like: Ukawa; the majority of few.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Tunahuzunika wabunge kutumia haki yao ya msingi na kutoka bungeni lakini hatuhuzuniki pale uchaguzi unapofutwa kinyemela.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Tunahuzunika wabunge kutumia haki yao ya msingi na kutoka bungeni lakini hatuhuzuniki pale uchaguzi unapofutwa kinyemela.
Mbaya zaidi hatuhuziniki katiba inapokiukwa live live.
 
mimi kama mzalendo wa taifa langu mwenye kuelewa nini maana ya haki,utawala bora,demokrasia,sheria ,utu,upendo na falsafa za hekima na busara niko radhi mwanangu wa pili nimpatie jina "ukawa locken" maana i feel pride kuwaona watu wachache wenye hofu ya mungu kutetea haki ya wanyonge ilhali wengi wenye ngozi ya kondoo kunufaika kwa migongo ya kiini macho na propaganda ,kiukweli kikiem kwangu ni kama dhambi ni kama moto wa jeha ila upinzani ni amani ya nafsi,furaha ya moyo na raha katika maisha yangu maana hufanya uhalisia katika maisha halisi sio maigizo kwenye uhalisia,serikali yangu mi naijua mwenyewe binafsi,rais wangu namjua,tanganyika naishi ila Mungu hatowasahau wema milele

Siri ya binadam ni ngumu kuing'amua
 
Wewe ni shetani na unamawazo ya kishetani na unawaza kama alivyosema mzee mkapa kuwa wapinzani ni malofa na wapumbavu. Ukawa wangekuwa wa maana tu iwapo;
1.Wasingekaribisha mwizi waliyesema ni fisadi
2. Baada ya kushindwa uchaguzi wangekubali matokeo na kukubali kushirikiana na Dr Magufuli bila kujali itikadi
3. Leo hawakuwa na haja ya kuzomea na kupiga kelele utafikiri wamevaa pampas wote

kwa ufupi CCM kwa sasa ndiyo chama pekee chenye kubeba matumaini ya watanzania. Wapinzani sasa ni wanaharakati wanasubiri CCM ikosee waseme , yaani wanaishi kishetani shetani (maana shetani huwa hamuwezi mtu wa Mungu ila husubiria akosee ili amshambulie)
Umeandika vizuri mno ila nina hofu ya kuwa huelewi maana ya demokrasia ya vyama vingi.kuna mambo UKAWA hawakuyapenda na taratibu za kushughulika nzayo zimekwama ile ilikuwa njia sahihi.Walivyokuwa waungwana walitoka walipoamriwa na spika.
La pili ni kuwa hawakumtaja Lowasa kwa kuwa Rais akishatangazwa na tume basi,hivyo inaonyesha kuwa they are not light as you think.
 
Ila bado sana kwa kuwa aslilimia kubwa ya jamii haielewi haya,haielewi hata haki zao za msingi inasikitisha sana kwani hata wale wachache wanaojitolea wasipopata support wanakuwa na wakati mgumu sanahebu fikiria kuna mijitu inaona upinzani kutoka ni swala baya.

"haki zao za msingi?Fanya kazi uishi!!" We unataka haki gani kwa mfano?
 
Back
Top Bottom