UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

Balali alikuwa sahihi, na mambo yanayotokea leo
 
Attachments

  • 1444900775191.jpg
    1444900775191.jpg
    17.8 KB · Views: 161
Hv mita mia mbili bado ni kituoni?? Ndo maana tunasema vipaumbele vyetu ni: 1. Elimu, 2. Elimu 3. Elimu

Mkuu Kumbuka Asilimia 90 Hizo Mita Ni Nyumbani Kwa Mtu,sasa Wote Inamaana Mtajikusanya Nyumbani Kwa Watu
 
Kwan nchi nzima imesongamana kama dar?? Kuna maeneo mengi sana ya wazi maeneo mengineyo ya Tanzania mkuu wangu. Hata mkisema suala la sheria za serikali za mitaa....zimeshindwa kuua vijiwe vya bangi leo ndo mtazuia watu kukaa tena wakisubir matokeo ya uchaguz?? Hapana.
 
Wanazindua kempu na maskani kwa makelele meengi na mingoma, na taarabu usiku hasa Tanga, mbona serikali za mitaa hazijawahi kuzuia?
 
Mita 200 paleeeeeeee tena napima.....ntakuwa nasubir matokeo.
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Piga kura,sogea hatua mia moja toka eneo la tukio tafuta kivuli kaa huku uki angalia kila anae ingia na kutoka ndani ya kituo cha kupigia kura ukiona jambo hulielewi elewi toa taarifa kwa askari waliopo maeneo hayo.

Kitaeleweka tu mwaka huu.
 
Lowassa atatimkia nyumbani kwake Uingereza,Mbowe Dubai.Wengine watakapokuwa wanapelekwa ICC wewe utakuwa KABURINI MUDA HUO.Wazazi na wako watakuwa wanahangaika ukimbizini.

Haya mnayoongea ndiyo maneno na kiburi pia alichokuwa nacho Laurent Gabgo Raisi wa Zamani wa Ivory Coast pamoja na Charles Tylor Raisi wa Zamani wa Liberia. Wote walifikishwa huko kwenye kiboko yenu watawala wenye viburi na kuburuza watu katika nchi zao kama watumwa. Uliza leo Karim Wade a son of a poweful president of Senegal yupo wapi? Mnaweza kuua, mnaweza kutesa, mnaweza kufanya chochote lakini na nyinyi ni binadamu kama sisi, usimtishie mtu nyau. We are waiting. ili mradi hatuvunji sheria zilizowekwa. Kama mtashtaki tutshinda.
 
Not young..I said small....kichwani. Talk about Mbowe, that's your opinion and one guy once said "opinions are like 'as...holes', everybody's got one"
You are not a free-minded lady as i thought.Completely brain-washed and in need of an immediate meditation.Mbowe has your mind in his dirty pocket.Alipo Upo
 
Jisomee mwenyewe

NO LAW BARS WAITING AFTER VOTING, THIS IS ACCORDING TO NIGERIAN LAWS. Which law in Tanzania bars people from waiting after Voting??? This question is directed to Hon, Lubuva J, THE CHAIRMAN OF NEC and To IGP? otherwise we will wait for the results at the polling station 100 meters. if it is crime please tell us the law.

Jega faults IGP, says no law bars waiting after voting

The Inspector-General of Police, Mr. Suleiman Abba, and the Chairman, Independent National Electoral Commission, Prof. Attahiru Jega, on Friday clashed over the police chief’s “vote and go home order.”

While the IGP had warned voters to go back to their homes after casting their votes on election days, Jega said the electoral law did not state that voters could not or should not wait to watch and ensure that their votes count.

The IGP, who addressed accredited observers for the forthcoming general elections in Abuja, said the possibility of committing electoral offence was very high if voters stayed back at the polling booths for votes to be counted.
ADVERTISEMENT

He said that each polling unit would have at least two or three policemen to protect votes cast by the electorate.

“We will go on to protect the electorate. Every eligible voter should feel safe enough to cast his votes. We will be there to protect the votes and make sure no one disrupts the process,” Abba said

But Jega disagreed with the police chief.

The INEC chairman, who appeared as a guest on Channels Television’s Sunrise Daily on Friday, said there is no part of the Electoral Act that forbids voters from waiting at the polling booths, adding that the law was only against loitering.

Also, Jega’s Chief Press Secretary, Mr. Kayode Idowu, stressed the position of the commission’s boss, adding that no law bars voters from staying around polling centres.

He said, “Jega did not contradict the IGP; he did not contradict anything that is in the law and what the IGP said. What the IGP said was that this regulation of INEC that says people can stay back in polling units, that he is uncomfortable about it because the Electoral Act provides that anybody who loiters around the polling units or commits an electoral offence can be prosecuted.

“He said if you stay at the polling unit, there is a very high chance that you will commit an electoral offense. People who loiter within the polling units do not have legitimate business.

“That was exactly what Jega said, that if you want to stay, you must stay on the condition that your conduct will not constitute an electoral offense. You will not abuse people, you will not be aggressive towards people, you will be calm and you will not be unruly. As such, the security agents will not apprehend you.”

However, the All Progressives Congress tackled the IGP over the “unlawful order.”

In a statement in Lagos by its National Publicity Secretary, Alhaji Lai Mohammed, the party asked voters to rather listen to Jega and stayed behind to protect their votes after casting their ballots.

The statement read, “According to Jega, who appeared on Channels TV on Friday morning, the electoral law says anyone that has no business with the electoral process at the polling booths but desires to monitor events should stay at least some metres away from the polling agents and completely away from the ballot box after casting their votes.

“‘The INEC Chairman further clarified that all registered voters have businesses with the process and can therefore not be classified as people that don’t have businesses at polling units.

“Therefore, the IGP has no constitutional right or powers under the constitution or Police Act to rewrite the electoral law. The role of the police is to maintain law and order or such other assistance as may be sought from the police by INEC.”
 
Hivi ni kituo gani ambcho kiko walau mita 100 tu kutoka makazi ya watu? Je, ina maana wakazi karibu na vituo watalazimika kuhama? Ama hawana idhini kwa mujibu wa sheria kuendelea na shughuli zao za kijamii ikiwa pamoja na kutembelewa na ndugu?

Hii ni sheria mbaya na mbovu. Kura ni mali ya nani kabla hazijahesabiwa?
 
wacheni upumbavu wenu. mkilala vituoni kwa akili yenu mnadhani ccm wao watalala nyumbani kama sio vituoni? hapo sasa si vurugu tu!

Kwan wakati wa kupiga kura wanaccm watatengwa na waupinzani? "Think twice "
 
Ukawa ishakuwa ngumu hii gemu ishaingiliwa na itakuwa ngumu unaweza kwenda hata kituoni wakiona ukawa wengi wanasingizia ushapiga kura then ukibisha virungu unaambiwa unaleta fujo
 
Ntahakikisha hakuna mawasiliano yasiyo na afya kati ya wasimamizi na watu wa nje.
Mkuu utazilindaje? utalazimisha kubaki ndani kuhesabu? sioni jinsi gani utakavyozilinda kwa kukaa nje ya mita 100
 
Ukawa ishakuwa ngumu hii gemu ishaingiliwa na itakuwa ngumu unaweza kwenda hata kituoni wakiona ukawa wengi wanasingizia ushapiga kura then ukibisha virungu unaambiwa unaleta fujo

Fikiri Mkuu Kwanza,kama Umepiga Wino Si Unaonekana Kama Hujapiga Si Inaonekana Utakuwa Huna Wino?Au Unahisi Ule Wino Ni Fashion?
 
Jisomee mwenyewe

NO LAW BARS WAITING AFTER VOTING, THIS IS ACCORDING TO NIGERIAN LAWS. Which law in Tanzania bars people from waiting after Voting??? This question is directed to Hon, Lubuva J, THE CHAIRMAN OF NEC and To IGP? otherwise we will wait for the results at the polling station 100 meters. if it is crime please tell us the law.

Jega faults IGP, says no law bars waiting after voting

The Inspector-General of Police, Mr. Suleiman Abba, and the Chairman, Independent National Electoral Commission, Prof. Attahiru Jega, on Friday clashed over the police chief’s “vote and go home order.”

While the IGP had warned voters to go back to their homes after casting their votes on election days, Jega said the electoral law did not state that voters could not or should not wait to watch and ensure that their votes count.

The IGP, who addressed accredited observers for the forthcoming general elections in Abuja, said the possibility of committing electoral offence was very high if voters stayed back at the polling booths for votes to be counted.
ADVERTISEMENT

He said that each polling unit would have at least two or three policemen to protect votes cast by the electorate.

“We will go on to protect the electorate. Every eligible voter should feel safe enough to cast his votes. We will be there to protect the votes and make sure no one disrupts the process,” Abba said

But Jega disagreed with the police chief.

The INEC chairman, who appeared as a guest on Channels Television’s Sunrise Daily on Friday, said there is no part of the Electoral Act that forbids voters from waiting at the polling booths, adding that the law was only against loitering.

Also, Jega’s Chief Press Secretary, Mr. Kayode Idowu, stressed the position of the commission’s boss, adding that no law bars voters from staying around polling centres.

He said, “Jega did not contradict the IGP; he did not contradict anything that is in the law and what the IGP said. What the IGP said was that this regulation of INEC that says people can stay back in polling units, that he is uncomfortable about it because the Electoral Act provides that anybody who loiters around the polling units or commits an electoral offence can be prosecuted.

“He said if you stay at the polling unit, there is a very high chance that you will commit an electoral offense. People who loiter within the polling units do not have legitimate business.

“That was exactly what Jega said, that if you want to stay, you must stay on the condition that your conduct will not constitute an electoral offense. You will not abuse people, you will not be aggressive towards people, you will be calm and you will not be unruly. As such, the security agents will not apprehend you.”

However, the All Progressives Congress tackled the IGP over the “unlawful order.”

In a statement in Lagos by its National Publicity Secretary, Alhaji Lai Mohammed, the party asked voters to rather listen to Jega and stayed behind to protect their votes after casting their ballots.

The statement read, “According to Jega, who appeared on Channels TV on Friday morning, the electoral law says anyone that has no business with the electoral process at the polling booths but desires to monitor events should stay at least some metres away from the polling agents and completely away from the ballot box after casting their votes.

“‘The INEC Chairman further clarified that all registered voters have businesses with the process and can therefore not be classified as people that don’t have businesses at polling units.

“Therefore, the IGP has no constitutional right or powers under the constitution or Police Act to rewrite the electoral law. The role of the police is to maintain law and order or such other assistance as may be sought from the police by INEC.”
Mkuu ndo tofauti ya INEC na sisi yetu ni NEC mdo maana mafigiso figiso ni mengi sana.... hapa ngoja tusubiri press conference ya ukawa leo itaamua nini nasi ni kutekeleza faster siku ya uchaguzi....
 
Back
Top Bottom