UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

Biti zinapigwa hatari? Safari wawe makin tu wakizingua kutaharibika naona raia wameamua any way ngoja tusubiri tuone kama kwel watu wakipiga kura watarud nyumbani? Kweny kura wanajifanya wanaijua amani? Ila mafisad wakipiga pesa no tamko lolote tunamwona anakwea pipa kwenda kupata u dktar
 
Nimekuelewa mkuu ila wakiruhusu mtu kupiga kura mahali popote, nahofia magamba kujipanga na kupiga kura zaidi ya mara moja.... naona kama kuna hatari.... wanafunzi wajipange, wafanye harambee, tuwawezeshe wakapigie vituoni kwao.... kwa nnavo ona....

Mwanafunzi anakuwa na kitambulisho cha chuo ila shida itakuwa ni kuvithibitisha kama ni halali au laa.
 
Kwnenda mahakamani kufanya nini?

Kwani sheria si ipo wazi?

Ni kwamba Lowassa na viongozi wa Ukawa wasimamie msimamo wao kufuatana na sheria iliyoongoza maswala ya uchaguzi.

Hakuna haja ya kuogopa kwa kisingizio cha mkuu wa nchi kasema.
 
Mwanafunzi anakuwa na kitambulisho cha chuo ila shida itakuwa ni kuvithibitisha kama ni halali au laa.
Ya hiyo ni shida kubwa kuwatambua lakini pia hili walilifanya makusudi maana wanajua wanafunzi wengi hawawaungi mkono.(matokeo ya twaweza .. kicheko)... hivo hawawez kuja na njia mbadala ya tatizo hili....
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Tunakoelekea hapana tatizo hata kidogo, tatizo lipo kwa wale wanajifanya kwamba wao ni zaidi kuliko serikali, si watanzania wote ni wajinga kiasi cha kukaidi agizo la serikali, unajua kuna watu ni wajinga sana, kama unaamini kwamba tume si huru ni vipi utegemee ushindi?
 
Inabidi mweke wazi kwa ufafanuzi hizo kura mnalindaje mkibaki kituoni??
 
wacheni upumbavu wenu. mkilala vituoni kwa akili yenu mnadhani ccm wao watalala nyumbani kama sio vituoni? hapo sasa si vurugu tu!
mkuu unadhani siwez weka tusi hapa la kukukera? Kuwa muungwana tu.... cha msingi je sheria inasemaje? Mbona nchi nyingine wapiga kura wanabaki ..... sio lazima kulinda kura lakini kusubiri matokeo na ndo maana yanabandikwa vituoni.... sasa mnayabandika ya nn kama watu hawatakuwepo?
 
Walio saini hiyo sheria yakuwa umbali wa mita 200 ni wenda wazimu???

Hakuna sheria inayowataka wanaosubiri matokeo kuwa umbali huo, bali inaruhusu meetings kuwepo kuanzia umbali huo, sasa mkitaka kufanya meetings ni lazima muwe na kibali toka polisi cha kukusanyika, hivyo watu hao wanaotaka kukaa mita 200 waombe kabisa kibali polisi,wasiporuhusiwa maana yake sheria haipo upande wao.
 
Tunakoelekea hapana tatizo hata kidogo, tatizo lipo kwa wale wanajifanya kwamba wao ni zaidi kuliko serikali, si watanzania wote ni wajinga kiasi cha kukaidi agizo la serikali, unajua kuna watu ni wajinga sana, kama unaamini kwamba tume si huru ni vipi utegemee ushindi?
Mkuu haki haiombwi inachukuliwa.... ni mpumbavu pekee atakae dhani hili suala litapita smooth maana hata ungeangalia sura ya mh Raisi ilibadilika wakati anasema "watashughulikiwa" maana anajua kitakacho fuata.... ndo maana naona mahakama inaweza saidia hapa....
 
Acheni uhuni wenu.kila mtu akibaki kituoni itakuwa fujo.wewe huelewi nini!

ungekuwa na kumbukumbu japo kidogo tu, watu uchaguzi wa 2010,walishinda vituoni siku 3!!ndio washindi wakatangazwa, unasema mita 100!!huku kutoaminiana ni kutokana na kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi kwa kulazimishwa tu, kwani ki uhalisia ccm hawako tayari kufuata matakwa ya nini democracy inataka.
 
hivi katiba ya 1977 inasemaje kuhusu demokrasia ya kupiga kura especially kwa group la wanafunzi kama mimi ninayenyimwa haki yangu mbona tunapelekeshwa hivi???
 
ungekuwa na kumbukumbu japo kidogo tu, watu uchaguzi wa 2010,walishinda vituoni siku 3!!ndio washindi wakatangazwa, unasema mita 100!!huku kutoaminiana ni kutokana na kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi kwa kulazimishwa tu, kwani ki uhalisia ccm hawako tayari kufuata matakwa ya nini democracy inataka.
u are right.... mkuu katiba yetu ni kama ya chama kimoja tu.... mwenyekiti wa ccm ndo Raisi. ...ndo mkuu wa majeshi. ... ndo mteuzi wa tume nzima ya uchaguzi na wakati huo anasema lazkma ccm itashinda... ndo anamchagua kila kiongozi na tume inafanya mambo yake bila kushirikisha wadau kama suala la talling system... yaani hapa ni shida.... demokrasia tz ni shida kubwa....
 
Kinacho wafanya mtake kug'ang'ania kubaki vituoni ni kitu gani?

Je mawakala wenu wajibu wao ni nini? Mbinu za viongozi wenu za kutaka kuhamasisha wafuasi wao ili walete vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kutokana na imani zenu potofu za kuibiwa kura - viongozi wenu wasipo chunga kauli zao wanapokuwa majukwaani,basi wachukuliwe hatua stahiki kabla hawaja tuletea balaa kwenye Taifa letu - hatutaki chokochoko na tactics za KIMUNGIKI nchini,kama wanajidanganya kwamba Serikali yetu Tukufu itaogopa lawama na kuwachia watu wachache wawe chanzo cha kuvuruga amani ili Nchi hisitawalike basi wataishia kwenye slammer na hakuna ataye wasikitikia.
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

cc: Tumaini Makene, Chademakwanza, Ben Saanane, Nanyaro Ephata
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Raisi amesema MAWAKALA tu ndio wanatakiwa kubaki na wawe ndani ya chumba cha kura. sasa ina maana HUWAAMINI mawakala wako?
 
Back
Top Bottom