UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
3,041
Reaction score
2,417
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.
 
Uko sahihi kabisa Mkuu. Ni vema UKAWA wachukue hatua sasa kabla hawajachelewa.
 
Hapa kuna hatari ya kutokea vita hata kabla ya matokeo kutangazwa, waache ubabe hao ccm hii nchi ni yetu sote, kama hupendwi kubali ushindwe kihalali. tume ya uchaguzi haiaminiki.
 
Paw naomba utuondolee haya mataputapu yenye lengo chafu juu ya amani yetu
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi.... hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza tia ukakasi sasa... leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisutiza watakao baki vituoni watashughulikiwa.... nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana ccm wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu... Katika nchi ambayo tume ya uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadirishwa chini ya mwez mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo. Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kushinikiza, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zidi ya mh. Masha aliye kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Hii yote inaleta Sinto fahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimiazwa kwa njia hii.

Pia nimemuona mkurugenzi wa uchaguzi wa nec akiiweka kama isaue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usionpungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini ukawa wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu ya watz kumwagika maana nnavo ona, tunako elekea sio kuzuri ifikapp tarehe 25 oktoba...

Nawakilisha.

Kamanda tunauzoefu na mahakama zetu. Wengi was majaji ni wana was system wanaweza wakatumika kutoa tafsiri mbovu na ya ajabu. Au wakachelewesha huo uamuzi.Duniani kote including Nigeria inaruhusiwa. Na raisi hana mamlaka ya kuzungumzia mambo ya uchaguzi. Ni tume tu ndiyo yenye mamlaka hayo. Dawa yake ni watu kujipanga na kukaa nje ya vituo kwa mita hizo. Kama ni kosa watupe vifungu vya sheria otherwise tusubiri matokea. Wasije wakataka kuwalazimisha mawakala. ICC is waiting.
 
Paw naomba utuondolee haya mataputapu yenye lengo chafu juu ya amani yetu
Mkuu yawezekana unaona ni mataputapu lakini mahakama ndo sehem ya haki na issue yoyote inayo onyesha uchaguzi hautakuwa wa haki ni hatari sana kuliko ukoma....
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi.... hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa... leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakao baki vituoni watashughulikiwa.... nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana ccm wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu... Katika nchi ambayo tume ya uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadirishwa chini ya mwez mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo. Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Hii yote inaleta Sinto fahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimiazwa kwa njia hii.

Pia nimemuona mkurugenzi wa uchaguzi wa nec akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usionpungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini ukawa wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu ya watz kumwagika maana nnavo ona, tunako elekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 oktoba...

Nawakilisha.

Umeshaambiwa piga kura sepa unalinda kura kwani wewe ni wakara sasa mjifanye wabishi upige kura ukae kituoni uone kitakacho kutokea unavunjwa miguu unasekwa ndani tii sheria bila shuruti vinginevyo utaona vyombo vyadola vinavyo fanya kazi yake
 
Hata mimi nilipata wazo kama hili na ikiwezekana waongeza na dai la kutaka kura ya uraisi iruhusiwe kupigiwa popote ili mradi tu mtu awe na kitambulisho (kichinjio).Hili jambo linaathiri watu wengi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi watapoteza haki yao ya kupiga kura

CHADEMA fungueni kesi Mahakama Kuu kwa hati ya dharura kama kisheria inaruhusiwa (mimi si mwanasheria).
 
Kamanda tunauzoefu na mahakama zetu. Wengi was majaji ni wana was system wanaweza wakatumika kutoa tafsiri mbovu na ya ajabu. Au wakachelewesha huo uamuzi.Duniani kote including Nigeria inaruhusiwa. Na raisi hana mamlaka ya kuzungumzia mambo ya uchaguzi. Ni tume tu ndiyo yenye mamlaka hayo. Dawa yake ni watu kujipanga na kukaa nje ya vituo kwa mita hizo. Kama ni kosa watupe vifungu vya sheria otherwise tusubiri matokea. Wasije wakataka kuwalazimisha mawakala. ICC is waiting.

Sasa wewe kama nikidume uje ukae hizo mita uone utavunjwa miguu piga kura sepa
 
Umeshaambiwa piga kura sepa unalinda kura kwani wewe ni wakara sasa mjifanye wabishi upige kura ukae kituoni uone kitakacho kutokea unavunjwa miguu unasekwa ndani tii sheria bila shuruti vinginevyo utaona vyombo vyadola vinavyo fanya kazi yake

Tulia dozi ikuingie wewe, mwaka huu lazima magamba chalii
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

= dharura
 
Walio saini hiyo sheria yakuwa umbali wa mita 200 ni wenda wazimu???
 
Hata mimi nilipata wazo kama hili na ikiwezekana waongeza na dai la kutaka kura ya uraisi iruhusiwe kupigiwa popote ili mradi tu mtu awe na kitambulisho (kichinjio).Hili jambo linaathiri watu wengi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi watapoteza haki yao ya kupiga kura

CHADEMA fungueni kesi Mahakama Kuu kwa hati ya dharura kama kisheria inaruhusiwa (mimi si mwanasheria).
Nimekuelewa mkuu ila wakiruhusu mtu kupiga kura mahali popote, nahofia magamba kujipanga na kupiga kura zaidi ya mara moja.... naona kama kuna hatari.... wanafunzi wajipange, wafanye harambee, tuwawezeshe wakapigie vituoni kwao.... kwa nnavo ona....
 
Naapa kwajina la Mungu nitasubiri mjibu bora nife nchi gani hii
 
Back
Top Bottom