UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

Hivi nyie mnaowaza kuibiwa kura, mawakala wenu wanafanya kazi gan ndan ya kituo
Wanazibwa macho kwa "kitu kidogo" ili wasione bao kuwa ni lamkono. Kama "kitu kidogo" kinatumika ndani ya chama kama ilivyotokea kule Jimbo la Mtama, vipi kwa Wapinzani.
 
Wizi wa kura huwa unatokea ndani wakati wa kuhesabu kura. Hawa wanaotaka kubaki vituoni wao lengo lao sio kulinda kura ila nikugomea matokeo iwapo tume ikitoa matokeo ambayo hawayakubali. Kitu cha msingi mawakala wanaoingia ndani ndio wanatakiwa kuwa makini na wasikubali kuhongwa na kama kutakuwa na wasiwasi wasikubali kusaini kama kuna rafu inataka kuchezwa
 
Wanazibwa macho kwa "kitu kidogo" ili wasione bao kuwa ni lamkono. Kama "kitu kidogo" kinatumika ndani ya chama kama ilivyotokea kule Jimbo la Mtama, vipi kwa Wapinzani.

Kwahiyo Nyie Hamuwaamini Mawakala Wenu??Halafu Kingine Hata Wakizibwa Macho Still Hamtafanya Chochote,wao Wapo Ndani Nyie Mpo Nje Mtazuia Vipi?
 
sheria unaijua vizuri au umekalia hear say?unafananisha matokeo ya uchaguzi na ya shule? zamani na sasa? pia umekariri maisha,unaonyesha ulivo pimbi zaidi(low I.Q)...tutazingatia sheria kwa umbali tajwa wa kisheria,hatutovaa nguo za chama au kufanya kampeni pia tutadumisha amani tukisubiri matokeo yatangazwe

Mmezoea kubembelezwa Watanzania. . . .Kama una hakika na sheria isemavyo fine be there. . . . . Hili lilihitaji mjadala??!!
High IQ unajenga premises tu conclusion inakuja automatically. . . . . .

Kama una uhakika be there. . . .
 
Kura zinamaliziwa kupigwa saa 10 jioni.Halafu ndo zihesabiwe.Kukaa kituoni siku nzima ndo unazilinda vipi kama utaratibu ndio huo?Tusidanganywe na wanasiasa.
Nafahamu hofu ya upinzani ni kushindwa kuweka mawakala kwenye hivyo vituo na hata wanaowaweka hawana imani nao ya kuwa waadilifu 100% kukwepa kununuliwa.Nadhani hili walitakiwa kujipanga nalo mapema.Kuna maana gani ya kusaini makubaliano ya sheria ya uchaguzi (kuondoka kituoni na kukaa umbali wa mita 100/200 ikiwa ni mojawapo).?
Wanaoonekana kwenye vyama ni viongozi lakini kiukweli wenye vyama ni wanachama na wapenzi wa vyama hivyo na sio viongozi.
Kuwaamini mawakala ni sawa kwa juu juu lakini fikiria juu ya suala la msingi kama mfano CDM walimwamini Dr. Slaa mpaka akawa katibu mkuu lakini leo anaongea hadharani kuwa 'tuwachague ccm'.
Na ukumbuke kichocheo cha mabadiliko safari hii sio viongozi wa vyama bali ni wananchi wenyewe ndio wanataka mabadiliko. Hivyo kuwaaminisha wamwamini wakala mmoja wakati kuna vitisho kutoka kila pembe na wengine wanasema 150 billion kwa 'shughuli' hii ni bora wakajiridhisha kwa kulinda kura zao wenyewe ilimradi hawavunji sheria.

Ninyi inaonekana mna UCHUNGU sana na MBOWE NA LOWASSA Kuliko hata JOYCE MUKYA,REGINA NA FRED LOWASSA.Andamaneni MUIONE KAZI.Hivi watu wachache kama nyie mnatishia vyombo vya DOLA Kama nani??MARUFUKU KUBAKI VITUONI_AMRI
You must be very Small, Young and Blind kama mabeki wa Man Utd..joke

Seriously; You must be a very small boy or girl..at least kichwani!
 
Wanaoonekana kwenye vyama ni viongozi lakini kiukweli wenye vyama ni wanachama na wapenzi wa vyama hivyo na sio viongozi.
Kuwaamini mawakala ni sawa kwa juu juu lakini fikiria juu ya suala la msingi kama mfano CDM walimwamini Dr. Slaa mpaka akawa katibu mkuu lakini leo anaongea hadharani kuwa 'tuwachague ccm'.
Na ukumbuke kichocheo cha mabadiliko safari hii sio viongozi wa vyama bali ni wananchi wenyewe ndio wanataka mabadiliko. Hivyo kuwaaminisha wamwamini wakala mmoja wakati kuna vitisho kutoka kila pembe na wengine wanasema 150 billion kwa 'shughuli' hii ni bora wakajiridhisha kwa kulinda kura zao wenyewe ilimradi hawavunji sheria.

1. Baado. . . .Sasa wakishinda itabidi wahamie kulinda mawizara na Ikulu na kila eneo la utendaji maana wananchi hawaamini watendaji walioteuliwa na viongozi . . . .Ambao kwa hapa sasa hata hao viongozi unamaanisha hawaaminiwi na wanachama. . . .

2. Kama Slaa hatakiwi kuaminiwa kwa nini wengine waaminiwe kubaki nje ya vituo??!! Una kipimo cha kutambua muaminifu na mchochezi au mfanya fujo??!!! Ukiambiwa wanatakiwa kuondoka.sababu hawaaminiki kama watatunza imani utajibu nini???!!! Au "imani ina upande"?????!!!!

Hebu liwekeeni justification itayokuwa na uzito. . . . .
 
Watanzania wengi ni wavivu wa kufanya kazi.Komaeni kupiga kelele huko vituoni halafu Mbowe atawaletea KIROBA CHA SEMBE Nyumbani.
Kikwete alishawahi kumletea nani kiroba cha sembe...labda ile sembe nyingine inayozungumzwa kuwa mwanae ni supplier, importer na exporter mkubwa wa mazao ya 'nafaka'.

Kila mtu anayajua maisha yake, kwani siku zote wewe ndio unawalisha?
 
Wizi wa kura huwa unatokea ndani wakati wa kuhesabu kura. Hawa wanaotaka kubaki vituoni wao lengo lao sio kulinda kura ila nikugomea matokeo iwapo tume ikitoa matokeo ambayo hawayakubali. Kitu cha msingi mawakala wanaoingia ndani ndio wanatakiwa kuwa makini na wasikubali kuhongwa na kama kutakuwa na wasiwasi wasikubali kusaini kama kuna rafu inataka kuchezwa

Kwa post yako hii kuna haja gan ya kupga kura kama raia wanakuwa washajua nani anashinda? Waelimishen watu na sio kuwachanganya.
 
Wanajamvi,

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Yaani wakapoteze muda na rasilimali!Kwani wewe hujui kusoma na kuandika!.

Wale watakaokamatwa au Damu ikimwagika ICC ndiyo watafanya ufafanuzi ni nani alikiuka sheria-kati ya Polisi na Wananchi wanaosubiria Matokeo ya Kura ambayo ni haki yao kikatiba.

IGP Magu anatakiwa kuwa makini asije pasiwa mpira na Lumumba akaingia kingi!.

You must be very Small, Young and Blind kama mabeki wa Man Utd..joke

Seriously; You must be a very small boy or girl..at least kichwani!

Sikatai "i may still be young" but a minded developed sane guy.Watch out brother,Your mind is in Mbowe's trouser pocket.
 
Umeshaambiwa piga kura sepa unalinda kura kwani wewe ni wakara sasa mjifanye wabishi upige kura ukae kituoni uone kitakacho kutokea unavunjwa miguu unasekwa ndani tii sheria bila shuruti vinginevyo utaona vyombo vyadola vinavyo fanya kazi yake
yaan ww n kama jibwa la kike unasema tii sheria na sheria inasema baada ya kupiga kura kaa mita mia kulinda kura hasa ww unataka tutii sheria ipi ua unataka tutii maneno ya jk na wapumbavu wenzake........mwaka huu imekula kwenu na kuna wasimamizi wengi sana wa umoja wa mataifa
 
Lowasa wakati anaanza kampeni alisema tupige kula twende mengine tumwachie yeye sasa kageuka anaona atapigwa chini
 
Wakati tulipokua tunakesha vituoni kujiandikisha haikua fujo?? Kusubiri matokeo ndiyo iwe fujo??
Hili jambo linahitaji ufafanuzi wa haraka, ni kwa nini mwaka huu ndiyo kusubiri matokeo ionekane kuwa ni uvunjifu wa amani wakati 2010 watu walisubiri kwa umbali unaoruhusiwa kisheria??
Tuambiwe kwa nini mwaka huu sheria inavunjwa na kwa maslahi ya nani.
 
Wanajamvi,

Hili suala la kubaki vituoni baada ya kupiga kura linaanza leta ukakasi sasa, leo Mh. Raisi kaliongelea na kusisitiza watakaobaki vituoni watashughulikiwa. Nimemsikia mhe. Kinana na IGP pia wakiliongelea na mbaya zaidi kwenye magroup yote wana CCM wamefurahia sana tamko la leo la mh. Raisi ambae pia ni Amiri jeshi mkuu katika nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiko huru, tumeona wakurugenzi wa tume wakibadilishwa chini ya mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kwa sababu za kikatiba/kisheria maana mhe. Raisi ana uwezo huo.

Lakini pia tuna kumbukumbu za chaguzi zilizo pita ambapo bila wananchi kuwepo eneo la tukio, sina uhakika kama mh. Wenje angepata ushindi zaidi ya mh. Masha aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Hii yote inaleta Sintofahamu na kuonyesha kama ule usemi wa Nape unatimizwa kwa njia hii.

Pia nimemuona Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC akiiweka kama issue ya kubaki kwenye vituo haiko kisheria.

Je, kama suala la kubaki vituoni kwa umbali usiopungua mita 100 liko kisheria, ni kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kesho kwa hati ya dharula kuweza pata ufafanuzi na order ya mahakama kwenye jambo hili?

Nia ni kuepusha damu za Watanzania kumwagika maana ninavyoona, tunakoelekea sio kuzuri ifikapo tarehe 25 Oktoba.

Nawakilisha.

Hawa ndio waleta vurugu, JK wanaemwendekeza na Vijibaraka kutoka Tume
 
Acheni uhuni wenu.kila mtu akibaki kituoni itakuwa fujo.wewe huelewi nini!

Akili za bata hizi sheria inaruhusu sio mahamuzi ya mtu bali nisheria ina sema hivyo Kama raisi anaotatizo atoke hazarani aseme naifuta sheria hii atakua ametenda haki bila atakua ana vunja sheria sisemi watu wakae Vituoni ila sheria sijui kwani ipo
 
Back
Top Bottom