Ukawa na drone camera mwanza

Ukawa na drone camera mwanza

Kama jinsi selfie sticks zilivyosambaa basi hata hivyo vidrone vitasambaa kama njugu.
Sheria za nchi ziainishe sheria za umiliki na kuvitumia hapa nchini.
 
Hii ni kwaajili ya kuchukua picha na ushahidi iwapo Fatou Bensouda atahitaji ushahidi wa kusiginwa haki za raia.UKAWA wamejipanga kweli kweli.
 
Kama jinsi selfie sticks zilivyosambaa basi hata hivyo vidrone vitasambaa kama njugu.
Sheria za nchi ziainishe sheria za umiliki na kuvitumia hapa nchini.

Wewe mshangao wako nini
 
Watu hizo toy tunazo nyumbani wanachezea watoto wetu.

Amma kwa hakika kuna mijitu Tanzania bado imelala.
 
CCM zipo zinachukua matukio chini ya ardhi na nyingine chini ya bahari huko...
 
Itatunguliwa kwa manati maana ikianza kuzunguka juu ya nyumba na kurekodi matukio
 
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!

Mimi nayo nachezea kama toi.
 
Back
Top Bottom