SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Kazi yake nini?
Mpaka leo hujui kazi ya camera? hapo sometime ndio huwa naamini jf baadhi ya watu ni vilaza sana.
Kazi yake nini?
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA TEKNOLOJIA HII.View attachment 277438
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!
Bei ya kamera hiyo je? Na imenunuliwa au ni kwa ufadhili wa nani vile.
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!
Zipo eBay au Amazon bei inategemea na ubora
Kazi yake nini?
Panazungumziwa "camera system" au "drones"? Nafikiri ni vitu viwili tofauti. Sheria ya nchii hii bado haijawa wazi kuhusu operation ya drones, hata mradi wa Anti-poaching ulishindwa ku-take off sababu ya undumilakuwili wa kisheria
wacha kupotosha....polisi wa mwanza wenyewe wamekiri haijapata tokea umati wa namna ile mwanza...we kwavile unafaham kifaa hicho unaleta uongo wako hapa leta ushahidi