Ukawa na drone camera mwanza

Ukawa na drone camera mwanza

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,640
Reaction score
2,233
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA TEKNOLOJIA HII. page.jpg
 
Last edited by a moderator:
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA TEKNOLOJIA HII.View attachment 277438



Bei ya kamera hiyo je? Na imenunuliwa au ni kwa ufadhili wa nani vile.
 
Last edited by a moderator:
Hazina bei kubwa na sasa hivi zipo nyingi tu.hata Bongo star search pale coco beach walitumia hiyo camera
 
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!
 
Zipo hadi vya dola 30 vidogoo, niliona juz juz wanavipromo pocketnow, unacontrol na simu nafkiri kwa infrared.

Zipo nyingi siku hizi useme wafanyabiashara wetu bongo wanasubiria mwenzao aanze kuuza na wao wamuige
 
Hizo camera ni noma zinaweza kuchukua matukio kwa umbali wa kuanzia mile 15 hadi 25 zikiwa angani....
 
Na bado... Safari hii nchi itashuhudia kampeni ambazo hazijawahi kutokea hapa Duniani
 
Ni kamera nzuri, Naona kama mchukuaji wa tukio lazima awe juu au camera yenyewe iwe juu. Nitasachi kweny internet kesho
 
asante sana kwa mleta uzi . hizi drone zilikuwepo hata hapa Arusha kwenye mkutano wao viwanja vya tindigani. nina imani watu wengi waliziona ila walidhani ni vifaa vya ulinzi peke yake.
 
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA TEKNOLOJIA HII.View attachment 277438


hii kitu nikiikuta mi naiibia(chomoa) tu kamera yake wala hiyo drone sina shida nayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom