UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

Shusha Kanuni za Kudumu za Bunge hapa kama unataka uzi ueleweke, sio kila anayejiskia kutoa yake yakichwani.
 
98% ya wabunge wa ccm toka bunge linaanza hadi linaisha hawajawahi kuuliza swali. wala nini. wenyewe kazi yao kubwa ilikua ni kulala na kunywa maji ya bure. lakini hao wenyewe pesa yao wamechukua yote.
tuseme tu ukweli ccm wanavyo fanya sio vizuri kwasababu ile ni dhuluma. na kama wakina magufuli kweli wanasali na anafuata maadili ya ni dini yake kwanini wadhulumu watu.
mbona maadili ya dini yake yanakataa kufanya hivyo
 
Nimekua nikiwaunga mkono lakini hapo wamekoseaa sanaaaaa.

Na hiyo itakuja kuwatesa sanaaaa hapo mbeleni. Wataonekana wanaeka maslahi yao mbele kuliko ya wananchi.

Zitto is the only one who is leading the way sasa hivi kwenye kuleta mapinduzi na mabadiliko ya kweli. Hawa wengine naanza kupata wasiwasi nao.
 
Wako sawa kabisa! Kuna kanuni/sheria inayosema usipohudhuria vikao vya bunge unanyimwa posho. Sheria ipi aliitumia Tulia kuwanyima posho? It makes sense , ni kuwa watu hatujui haki zetu. Ni sawa kama upuuzi anaoufanya Fastjet kuahirisha safari bila kuwa alternative air transport or accommodation to the would be passengers! Only recently one advocate has approached the court to that effect and has won the case!
sasa kwa nini walikataa posho pindi spika alipowanyima, wakati wanajua ni haki yao? au hawakuielewa katiba inasemaje juu yaposho. AU UKATA UMEZIDI. MAGU KAFICHA PESA.

kwani bungeni mwenye jukumu la kuratibu na kuongoza bungeni ni nani si spika?

ikiwa hawamtaki naibu spika kwa nn wasilete hoja bungeni na kuipeleka mahakamani, mpk wazunguke mitaani inamaana hawajui namna ya kumuengua spika. katiba inassema spika atachaguliwa na wabunge pia kutenguliwa na wabunge kwa kufuata sheria, mbona wao hawafati sheria
 
Ukawa njaa kali,mikopo ya magari na mikopo ya mishahara,marejesho ni lazima upate posho kwa sababu safari hakuna,lazima sasa wanalaumiana kuingizana mkenge,Tulia bado anapeta na wala hana dalili za kujiuzulu achilia mbali kung'olewa
Halafu mahakama haina mamlaka na yanayozungumzwa bungeni labda kama ni kufafanua vifungu vya katiba,alichoamua naibu spika akiwa kwenye kiti hakihojiwi na chombo chochote,hiyo kesi itaanguka siku ya kwanza tu,ukawa waache kuwadanganya wafuasi wao
 
hivi wewe ni mlipa kodi katika nchi hii kweli.? nina wasiwasi. utakuwa under age. hivi walipwe kwa kitu gani. si bora pesa hiyo ipelekwe kununulia madawati mashuleni au madawa hospitalini. ni nani aliwatuma wagome.? kuna yeyote alienda kwenye jimbo lake na kuomba watu wake kuwa anaenda kugoma bungeni na akakubaliwa. ni lazima tujue wabunge wameomba kazi kwa wananchi majimboni. wakapewa kazi na ni lazima waende bungeni kuwafanyia kazi. na sio kwenda kugoma kula na kulala tu. nani anagharamia muda huu uliopotea. tena ningeshauri hata mishahara yao ingekatwa kwa siku zilezote ambazo hawakufanya kazi.

Hivi na wewe umefikiri kwa kichwa kuwa alipwe aliyeomba sanamu ya dimond kuliplace askari monument? au wale mabubu wa kujifanya? Sijui wengine huwa mnaacha akili zenu wapi!
 
Wabunge wa UKAWA waliositishiwa posho zao baada ya ule mchezo wa kutoka bungeni sasa kudai posho zao mahakamani.
Hiii sijui imekaaje mtu kuhangaikia pato ambalo hujalifanyia kazi.
Source Star tv face book.

mim nilisrma zile posho ni hela nyingi na zinawauma sana wao wanawaiga akina MBOWE, mbatia, LEMA ambao wanabiashara zao tayari , ndio maana wanaitwa nyumbu wao mbowe akisema tu wanaitikia ndio
 
Nilimsikia Mbowe kwenye habari akidai wao hawana shida na posho.

Au hii habari ni uzushi tu?

yeye mbowe ana vitega uchumi vyake tayari kwa mgongo wa CDM, mfano TANZANIA DAIMA , na ruzuku lukuki yeyr anajiandikia cheki anavyotaka , sasa wao walala hoi wanamuiga eti na wao hawana shida na posho , zileposho ni nyingi asikuambie mtu , ni karibia 8m nje ya zile 11.5m ,
 
Wako sawa kabisa! Kuna kanuni/sheria inayosema usipohudhuria vikao vya bunge unanyimwa posho. Sheria ipi aliitumia Tulia kuwanyima posho? It makes sense , ni kuwa watu hatujui haki zetu. Ni sawa kama upuuzi anaoufanya Fastjet kuahirisha safari bila kuwa alternative air transport or accommodation to the would be passengers! Only recently one advocate has approached the court to that effect and has won the case!

Lakini Mbatia alisemaje wakati Spika alipotangaza kusitishwa kwa posho kwa wanaotoka nje?
 
Wabunge wa UKAWA waliositishiwa posho zao baada ya ule mchezo wa kutoka bungeni sasa kudai posho zao mahakamani.
Hiii sijui imekaaje mtu kuhangaikia pato ambalo hujalifanyia kazi.
Source Star tv face book.
Kwani posho zinatoka kwa kuingia Bungeni au kufanyia kazi kuchangia hoja au hta wale vilaza ambao kazi yao kulalamika wamevuliwa kofia na picha ya diamond iwekwe town city centre
 
KWa hiyo weng
Kwani wale waliokaa pale na kunyamaza kimya wamefanya kazi gani? Au yule wa kujenga mnara wa push up, ingekuwa watu wanalipwa kwa performance na zinatoka mfukoni mwako, ungempa ngapi yule?
ine wakinyamaza wao wanatoka nje halafu wanakuaj kudai posho?!?!?!
 
sasa kwa nini walikataa posho pindi spika alipowanyima, wakati wanajua ni haki yao? au hawakuielewa katiba inasemaje juu yaposho. AU UKATA UMEZIDI. MAGU KAFICHA PESA.

kwani bungeni mwenye jukumu la kuratibu na kuongoza bungeni ni nani si spika?

ikiwa hawamtaki naibu spika kwa nn wasilete hoja bungeni na kuipeleka mahakamani, mpk wazunguke mitaani inamaana hawajui namna ya kumuengua spika. katiba inassema spika atachaguliwa na wabunge pia kutenguliwa na wabunge kwa kufuata sheria, mbona wao hawafati sheria
Nitakujibu kwa vile sijakufahamu ukiwa kama akina Lizaboni &Co Ltd, nitajitoa. Uko bungeni husikilizwi kila ukiomba mwongozo kwa sababu ya majority ya CCM unakataliwa, unafanyaje? How do you show discontent! Umepanga hotuba wanakwambia toa hili weka hili, unafanyaje? Wanakupangia la kusema ni lipi , unafanyaje? Wakati wewe ni mpinzania na kazi yako ni kuonyesha mapungufu ya serikali kwa nia njema ( in good faith) yarekebishwe unaambiwa kuwa pungufu la Lugumi usiliseme, la nyumba za serikali zilizouzwa usiliseme, what do you do?
 
Back
Top Bottom