UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

Ukawa
Wana haki ya kwenda mahakamani
Kwa kuwa walikuwa wanasaini mahudhurio
Kisha wanatoka
Malalamiko yao waliyafikisha kwenye kamati ya bunge kuwa hawana imani na naibu spika
Kwaio wanavigezo vyote vya kushinda kesi
Tulia mwaka huu utajilaumu kukubali hiyo nafasi
 
Kuna wabunge kazi yao ilikuwa ni kuwanyanyasa wenzetu wazenji kila akipewa nafasi ya kuchangia, huyo naye alikuwa anapewa posho!
 
Wabunge wa UKAWA waliositishiwa posho zao baada ya ule mchezo wa kutoka bungeni sasa kudai posho zao mahakamani.
View attachment 363532
Hiii sijui imekaaje mtu kuhangaikia pato ambalo hujalifanyia kazi.
hapa naona kuna namna...kwa nini wasipeleke hoja za msingi zinazowagusa watanzania walio wengi walio wachagua kama wawakilishi wao...naona kweli tumbo liko na nguvu hapa!
 
Wako sawa kabisa! Kuna kanuni/sheria inayosema usipohudhuria vikao vya bunge unanyimwa posho. Sheria ipi aliitumia Tulia kuwanyima posho? It makes sense , ni kuwa watu hatujui haki zetu. Ni sawa kama upuuzi anaoufanya Fastjet kuahirisha safari bila kuwa na alternative air transport or accommodation to the would be passengers! Only recently one advocate has approached the court to that effect and has won the case!

Huo mfano wa fastjet hata haufanani na ulichoandika!
 
Huo mfano wa fastjet hata haufanani na ulichoandika!
Sema wewe ndiye huelewi uliza ueleweshwe. Fastjet wanatabia ya kuahirisha safari the way they feel, at their own leisure, hakuna anayewapeleke mahakamani kwa vile hatujui haki zetu. Only recently................Hivyo hivyo na huyu Tulia, mamlaka ameyapata wapi ya kuwanyima posho? Sasa wamejua haki zao! Ametumia kanuni ipi?
 
Mambo ya Bunge, yanaishia bungeni, hayana nafasi mahakamani, bunge ni chombo huru, sheria za bunge na taratibu za bunge zinaishia bungeni, mabwege wataenda mahakamani kuzihirisha ubwege wao
 
Si walisema hawana haja na posho? Imekuwaje tena?


NO. Waliahidiwa na tajiri wao kuwa angewalipa stahili zao zote kwa kutohudhuria vikao. Naona huyu tajiri kawageuka ndio wanaongelea kwenda mahakamani. Na ikiwa ni nkweli huyu tahiri wao akiamua kutowalipa kama alivyowaahidi naona mgogoro mkubwa siku za usoni.
 
Darasa la NNE nchi gani mkuu hicho kitabu mwaka huo wa 1997?
Maana
Sizitaki mbivu hizi????;!!!!!!!
Kwanini ccm ni watupu sana kichwani jamani?
Ebu nisaidieni
Au edity fasta kabla magret thinkers hawajaja hapa
Masahihisho edity=edit, gret=great
 
Wakamshitaki na huyo NS kwa kuendesha mfululizo vikao vyote hivyo kuwafanya wakose posho ya vikao.
 
Si walisema hawababaishwi na posho, Au njaa zimeanza kuwaandama?
 
Sawa kabisa. Kama kuna kifungu kilikiukwa kwa kuwanyima posho ni haki yao kuidai mahakamani. Ikumbukwe ukawa walikuwa bungeni na walichokuwa wakifanya ni sehemu ya majukumu yao ya kibunge! Sasa iweje wakatwe posho kwa kuprotest uendeshaji wa bunge wa NS. Je hawana haki ya kuprotest? Je kuprotest jambo kwa kutoka nje ni kuvunja kanuni za bunge? Kanuni zipi zilivunjwa? Je ni sawa kwa anayelalamikiwa kutoa adhabu kwa wanaomlalamikia? Je huu si mgongano wa kimaaslahi? Ni vizuri mahakama ikaliweka
hili sawa. UKAWA wapo sahihi!
 
Back
Top Bottom