UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

Mm niliwaambia tangu mapema kwamba hawa ni wasakatonge tu,walijitia kushiba kumbe walikuwa wanaumia moyon.
 
Ukawa
Wana haki ya kwenda mahakamani
Kwa kuwa walikuwa wanasaini mahudhurio
Kisha wanatoka
Malalamiko yao waliyafikisha kwenye kamati ya bunge kuwa hawana imani na naibu spika
Kwaio wanavigezo vyote vya kushinda kesi
Acheni kukurupuka nyie manyumbu!Mwanzoni c mlidai kuwa hawana njaa?

Sasa leo wanadaije posho wasioitolea jasho
 
kwa hili UKAWA wajipange vizuri kuushawishi umma vinginevyo hawataeleweka....
 
Back
Top Bottom