Nitakujibu kwa vile sijakufahamu ukiwa kama akina Lizaboni &Co Ltd, nitajitoa. Uko bungeni husikilizwi kila ukiomba mwongozo kwa sababu ya majority ya CCM unakataliwa, unafanyaje? How do you show discontent! Umepanga hotuba wanakwambia toa hili weka hili, unafanyaje? Wanakupangia la kusema ni lipi , unafanyaje? Wakati wewe ni mpinzania na kazi yako ni kuonyesha mapungufu ya serikali kwa nia njema ( in good faith) yarekebishwe unaambiwa kuwa pungufu la Lugumi usiliseme, la nyumba za serikali zilizouzwa usiliseme, what do you do?