Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

mkuu katika michakato ya demokrasia hamuwezi always kuwa on the same page.

Na pale mnaposhindwa kukubaliana always kura ndo huwa muamzi wa mwisho.
Sasa inapotokea issue kama hii ukawa wanafanyaje kama kura haziwatoshi bungeni ku counter na kuwin dhidi ya wa ccm?.
Ukawa wanataka bunge lisitishwe,then WHAT?.
Kwamba tungojee mpaka uchaguzi upite.HALAFU?WHAT?.
Vipi kama baada ya uchaguzi bado ccm ikawa na majority bungeni na wakasimamia msimamo wao?.

Nafikiri unajiuliza Maswali then Unajijibu, Kwanza upatikanaji wa wajumbe wa BMK ulikuwa na mizengwe mingi sana nafikiri unajiunea Lumumba walivyojaza Bunge
 
mpumbavu ww tena huna akili ku la ma ma a k o yaani ww ndio hewa yan kweli
mwana mbwa ww ulitegemea na mm ni shabikie huo usenge eti ww daa mbwa kabisa nishindwe kufanya kazi zangu nikaandamane nyoo Crashwise

Yani natafakari wewe ni mtu wa aina gani, usikute ndio wale wapiga debe wa temeke
 
Naiona kampuni ya ukawa limited ikitangaza sera za miezi sita ijayo kwa kampuni pinzani ya ccl limited.
 
hakuna haja ya CCM kuendelea kutafuna fedha za umma kipuuzi kama hivi wakati wanajua kwamba katiba ya CCM wanayoitunga haitapata akidhi ya 2/3 wala kukubaliwa na wananchi. wananchi tuamke tukabiliane na hawa WEZI walioshiba rasilimali za taifa hadi kufikia hatua ya kuwatukana wawakilishi wetu TUMBILI.
 
sasa nadhani mwisho wa UKAWA unakaribia

Nothing is easier than saying words.Norhing is harder than living them day after day.As leader you wil face plenty of obstacles and opposition- if you don't already!!
 
Kubishana na wewe mwenye itikadi ya ki ccm nikuwaonea Watanzania walio wengi zaidi ya watu 17 elfu waliotoa maoni na hao mia 6 wapi ni wengi? Ovyo kabisa!
akili kama ya lissu. hao laki 6 hawatoi maoni wanaandika katiba kwa niaba ya raia m 45. wengi ni wawakilishi wa kuchaguliwa na wananchi na hawakubali hoja yenu kwamba maoni ya wananchi ni serikali tatu.
 
Nafikiri unajiuliza Maswali then Unajijibu, Kwanza upatikanaji wa wajumbe wa BMK ulikuwa na mizengwe mingi sana nafikiri unajiunea Lumumba walivyojaza Bunge
wako wengi kwasababu wao ndo majority bungeni na utaratibu wa majority upo hata nchi zingine mfano israel kama huna viti vya kutosha huundi serikali.

Na kama una majority ya tuseme 80% utaunda serikali na sera za chama chako ndo zitakuwa zinafanya kazi hapo.
Sasa ulitaka bungeni wajae watu toka wapi ama kina profesa J na sugu type?.
 
Back
Top Bottom