Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

kwa haraka haraka huu ni upuuzi wa CHADEMA na siyo ukawa kawa sababu:
1. KUNA CHADEMA wawili(SLAA na MBOWE) vyama vingine mmoja mmoja
2. kwa nini iwekwe afisa habari wa CHADEMA?

Ni mwendelezo wa ujinga tu unaofanywa na CHADEMA kwa kivuli cha UKAWA.
 
mpumbavu ww tena huna akili ku la ma ma a k o yaani ww ndio hewa yan kweli
mwana mbwa ww ulitegemea na mm ni shabikie huo usenge eti ww daa mbwa kabisa nishindwe kufanya kazi zangu nikaandamane nyoo Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna cha UKAWA wala CCM ni jambo jema kukubaliana kwa ajiri ya ustawi wa Taifa letu na kuacha kuwalazimisha Raia matakwa yetu na maslahi yetu Taifa letu sote tukilichafua damu na vilio ni laana kwa kizazi chetu. CCM inatumia mkono wa chuma kulinda matakwa yake UKAWA tunasema maoni ya wananchi yaeshimiwe huu siyo wakati wake kama tumeshindwa tutafute msaada wa kisheria nini kinaitajika kujadiliwa na siyo kuwabebesha Raia mizigo ya vifo na ulemavu wa kudumu. Mungu twakuomba lilinde Taifa letu na wanasiasa walevi.
 
Niko pamoja na UKAWA!! CCM muache upumbavu, tutamwagana vi.nye.si mda si mrefu!! Kama mlikuwa hamkubaliani na Tume, mliichagua ya nini!?
 
Kwa hiyo unamaanisha kuna CDM ya bodi ya wadhamini na CDM ya walioporomoka kisiasa?

Au wewe mtazamo wako uko tofauti na ule wa Yericko Nyerere?

kwa haraka haraka huu ni upuuzi wa CHADEMA na siyo ukawa kawa sababu:
1. KUNA CHADEMA wawili(SLAA na MBOWE) vyama vingine mmoja mmoja
2. kwa nini iwekwe afisa habari wa CHADEMA?

Ni mwendelezo wa ujinga tu unaofanywa na CHADEMA kwa kivuli cha UKAWA.
 
Mbona wameandika pale chini ya jina lake mkuu? Au umechangia bila kusoma taarifa yenyewe?

Akili hauna nilikuwa nawatafuta watu kama wewe, mbona hakuna makatibu wakuu wa CUF na NCCR? SLAA amefuata nini kwenye hilo tamko? ndiyo ilikuwa maana yangu
 
kwa haraka haraka huu ni upuuzi wa CHADEMA na siyo ukawa kawa sababu:
1. KUNA CHADEMA wawili(SLAA na MBOWE) vyama vingine mmoja mmoja
2. kwa nini iwekwe afisa habari wa CHADEMA?

Ni mwendelezo wa ujinga tu unaofanywa na CHADEMA kwa kivuli cha UKAWA.
mkuu unajua pale naimani CCM imemtuma Tundu LIsu kusambaratisha kile chama ila mtu kama Mbowe hawezi kuliona jambo ilo mpaka uwe Clever.
 
''Ni vyema kukumbuka kuwa Zanzibar walijadili wenyewe mambo Yao ya Ndani na kutengeneza Katiba yao na hatuoni mantiki ya kuruhusu Wajumbe toka Zanzibar kujadili na kuamua mambo ya Tanganyika. BMK haina Sifa ya kujadili yasiyo ya Muungano''.by Prof. Lipumba

BMK wamechemka sana wanadhani Warioba na timu yake walikuwa punguani kutokuingiza mambo hayo ktk rasimu ya pili, kumbe busara iliwaongoza kuwa Zanzibar tayari ina katiba yake na nchi, leo Tanganyika tutungiwe katiba na jirani.

Kuandamana kwa ukawa ni kupinga mambo yanayochomekwa kinyume na rasimu, kama rasimu ilipokelewa kwa ajili ya kujadili leo imegeuka haramu???
 
Msimamo wa UKAWA ndo msimamo wa kundi kubwa la watanzania wanao taka serikali 3. Tunawaunga mkono na Mungu awape maisha marefu huo ndo ukomavu posho baadae .
 
Wapigwe tu........nani aandamane familia zenu mmeacha zimeshiba mchemsho makwenu halafu mnataka wajinga wakavunjwe miguu? Wapigwe tuuui
 
Msimamo wa UKAWA ndo msimamo wa kundi kubwa la watanzania wanao taka serikali 3. Tunawaunga mkono na Mungu awape maisha marefu huo ndo ukomavu posho baadae .

kundi la watanzania wengi liko bungeni kwa mujibu ya sheria, UKAWA ni wanaharakati kama walivyo akina ULIMWENGU, KABUDI, ANANILEYA NKYA n.k
 
Back
Top Bottom