Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

hii ni sawa na kusema chadema hawana sababu ya kushiriki uchaguzi mkuu mwakani na kuharibu pesa za ruzuku kwasababu kuna dalili wataambulia wabunge 60 tu.

sijakufahamu vizuri mkuu....embu rudia tena statemant yako...iweke vizuri ili nikuelewe.
 
Back
Top Bottom