spiritual hero
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 354
- 64
Hawa jamaa kwa mujibu wa kanuni zao, maridhiano ni bungeni na si nje ya hapo. Muundo upi utatumika, wananchi wataamua kwa kura ya maoni.
Sasa kama wanadhani kuandamana ndio suluhu; nalishauri jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la wananchi kuwashughulikia vilivyo viongozi wenye uchu na madaraka kwa njia yoyote. Kama vipi, tubaki na katiba yetu ya sasa. Mnataka mateja waingie barabarani kutuibia kwa nguvu. BWANA wa majeshi azime hila yenu. Natamani kuwatkna lakini imani yangu hainiruhusu.
Mkuu wangewezaje kuridhiana katika mazingira ya kubezwa na kutukanwa kiasi kile? Au ulikuwa unahadithiwa mchakato wa BMK season one?