Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

mpumbavu ww tena huna akili ku la ma ma a k o yaani ww ndio hewa yan kweli
mwana mbwa ww ulitegemea na mm ni shabikie huo usenge eti ww daa mbwa kabisa nishindwe kufanya kazi zangu nikaandamane nyoo Crashwise

Kwakua umefunikwa kwenye chupa isiyo na Mdomo za hapo Lumumba hutaweza kuandamana unasubiri kufisadi nchi tu

 
''Ni vyema kukumbuka kuwa Zanzibar walijadili wenyewe mambo Yao ya Ndani na kutengeneza Katiba yao na hatuoni mantiki ya kuruhusu Wajumbe toka Zanzibar kujadili na kuamua mambo ya Tanganyika. BMK haina Sifa ya kujadili yasiyo ya Muungano''.by Prof. Lipumba

BMK wamechemka sana wanadhani Warioba na timu yake walikuwa punguani kutokuingiza mambo hayo ktk rasimu ya pili, kumbe busara iliwaongoza kuwa Zanzibar tayari ina katiba yake na nchi, leo Tanganyika tutungiwe katiba na jirani.

Kuandamana kwa ukawa ni kupinga mambo yanayochomekwa kinyume na rasimu, kama rasimu ilipokelewa kwa ajili ya kujadili leo imegeuka haramu???

Asante Kamanda umewaumbua hawa lumumba
 
hawana lolote kazi kuhamisha goalpost. shida ya cdm sio katiba ila kufanya siasa waingie ikulu. ccm wanajua na wana ozoefu zaidi kufanya siasa. muhimu zaidi ccm wana ridhaa kubwa ya wananchi na hawalazimiki kua na muafaka na cdm kwa jambo la msingi katika sera yao. ukawa walijue hili na waepuke kuleta fujo bali kungojea kama watapewa ridhaa kwenye uchaguzi.
kikubwa vyombo vya usalama viwe makini sana.kuna vichwa kama kumi hivi ndo vinataka kuyumbisha amani ya nchi hii.

Watu hawa wanatakiwa kuwa monitored 24/7 ,kila wanachofanya,kila wanachoongea,kila wanaekutana ,wanaewasiliana,financial transaction etc vyote viwe monitored and analyised.
Yaani hata wakitoa ushuzi taarifa zifike vyombo vya usalama.
Hivi vichwa ndo vinaweza kupeleka nchi matatizoni iwapo wanaachwa loose.
 
Akili hauna nilikuwa nawatafuta watu kama wewe, mbona hakuna makatibu wakuu wa CUF na NCCR? SLAA amefuata nini kwenye hilo tamko? ndiyo ilikuwa maana yangu

Nashukuru sana mkuu inawezekana kweli sina akili. Nilikueleza tu kwa nia njema. Nikutakie uchangiaji mwema wewe mwenye akili nyingi kwa sababu inawezekana najibizana na mtu ambaye yuko kazini hapa JF! Ngoja mimi niendelee kusaka tonge huku niliko.
 
Kama ni ujinga mbona,ma CCM mmehamaki hivi .....katiba sio mali ya ccm ndugu zangu...mnakosea sana ..tulitakiwa kuwa on the same page kama taifa,kuwa na win-win situation
 
Hapa hakuna cha UKAWA wala CCM ni jambo jema kukubaliana kwa ajiri ya ustawi wa Taifa letu na kuacha kuwalazimisha Raia matakwa yetu na maslahi yetu Taifa letu sote tukilichafua damu na vilio ni laana kwa kizazi chetu. CCM inatumia mkono wa chuma kulinda matakwa yake UKAWA tunasema maoni ya wananchi yaeshimiwe huu siyo wakati wake kama tumeshindwa tutafute msaada wa kisheria nini kinaitajika kujadiliwa na siyo kuwabebesha Raia mizigo ya vifo na ulemavu wa kudumu. Mungu twakuomba lilinde Taifa letu na wanasiasa walevi.
nyie hamna akili? hata warioba mwenyewe ameshindwa kutetea takwimu zake nyie mmeng'ang'ana wananchi wananchi. kwani mnafikiri wananchi ni mjimi moshi na arusha tu.
 
kundi la watanzania wengi liko bungeni kwa mujibu ya sheria, UKAWA ni wanaharakati kama walivyo akina ULIMWENGU, KABUDI, ANANILEYA NKYA n.k

Kubishana na wewe mwenye itikadi ya ki ccm nikuwaonea Watanzania walio wengi zaidi ya watu 17 elfu waliotoa maoni na hao mia 6 wapi ni wengi? Ovyo kabisa!
 
Niwaombe UKAWA, mahakama zipo wazi kwa kila mtu na kila kikundi, kama Bunge la katiba linakwenda kinyume na sheria inayoongoza uwepo wake kwa nini basi msiende mahakamani kuusimamisha huu mchakato? Mna wanasheria wengi kama kina Tundu Lissu, kwa nini basi wasitumie taaluma yao kuweka pingamizi la mahakama? Hizi porojo za matamko kila siku hazisaidii kitu. Kama kuna jambo la msingi mnaloona limevunjwa kisheria, wekeni pingamizi la kimahakama na siyo kubwabwaja tu.

Uko sahihi mkuu dawa ilikuwa waende mahakamani kuomba mahakama isimamishe huo mchakato kama wanaona unaenda ndivyo sivyo.Lakini UKAWA ni wabishi na wakorofi hawaheshimu mgawanyo wa madaraka na sheria lengo lao kuleta vurugu tu katika nchi.Ndio maana hata wanasheria wameshaanza kuwapuuza kwa kuwaona kuwa wqanajifanya wajuaji sana kiasi cha kuona mahakama si kitu

Huko mitaani wanafwata nini zaidi ya kutafuata mahali pa kuanzishia cheche za vurugu.
 
Kama ni ujinga mbona,ma CCM mmehamaki hivi .....katiba sio mali ya ccm ndugu zangu...mnakosea sana ..tulitakiwa kuwa on the same page kama taifa,kuwa na win-win situation
mkuu katika michakato ya demokrasia hamuwezi always kuwa on the same page.

Na pale mnaposhindwa kukubaliana always kura ndo huwa muamzi wa mwisho.
Sasa inapotokea issue kama hii ukawa wanafanyaje kama kura haziwatoshi bungeni ku counter na kuwin dhidi ya wa ccm?.
Ukawa wanataka bunge lisitishwe,then WHAT?.
Kwamba tungojee mpaka uchaguzi upite.HALAFU?WHAT?.
Vipi kama baada ya uchaguzi bado ccm ikawa na majority bungeni na wakasimamia msimamo wao?.
 
kikubwa vyombo vya usalama viwe makini sana.kuna vichwa kama kumi hivi ndo vinataka kuyumbisha amani ya nchi hii.

Watu hawa wanatakiwa kuwa monitored 24/7 ,kila wanachofanya,kila wanachoongea,kila wanaekutana ,wanaewasiliana,financial transaction etc vyote viwe monitored and analyised.
Yaani hata wakitoa ushuzi taarifa zifike vyombo vya usalama.
Hivi vichwa ndo vinaweza kupeleka nchi matatizoni iwapo wanaachwa loose.

Hivi hela za Watanganyika zinavyoliwa kwenye BMK nyie ndio raha yenu sasa Watanganyika tumeshtuka
 
Ni vyema zaidi tutoke kila pande ya Tanzania yetu tukutanie pale Dodoma tuwatoe nduki pale mjengoni.
 
Back
Top Bottom