kesho wanakongamano tena Itv,kisha keshokutwa wataandika strong worded letter kwa Rais wakimwambia asitishe bunge haraka ama sivyo wanaingia msituni.
Dar es Salaam kuna msitu? au wanaenda kuanzia HAI na HIFADHI YA NGORONGORO?
kesho wanakongamano tena Itv,kisha keshokutwa wataandika strong worded letter kwa Rais wakimwambia asitishe bunge haraka ama sivyo wanaingia msituni.
MKUU sidhani kama wavuta bangi wana mda mchafu kama huoWasio na kazi wataandamana.
Wavuta bangi wasio na kazi wataandamana.
Wajinga na wasiojielewa wataandamana.
Asante kamanda Makene kwa Tarifa nzuri na Msimamo viva Ukawa
sasa nadhani mwisho wa UKAWA unakaribia
tatizo nin mpaka tunataka kufika hapa. Wananchi tunataka serikari moja itakayoleta usawa katika nyanja zote muhimu
mkuu haya makenge yanakera mpaka basi ndo maana nikamuuliza kama atamualika mama yake kwenye maandamano ili nijue yupo makini.mkuu pamoja na kwamba UKAWA wanaudhi na hawajui walifanyalo, wapuuze tu wala usiwape credit kwa matusi, dawa ya watu kama UKAWA ni JK, wanapandisha mori, mzee yeye kimya anawaangalia tu wakichoka utasikia mkuu tunaomba kuja kunywa juice, naye anawaambia njoooni, wakitoka wameinamisha vichwa kama mabundi
@Cybercrime
Kama ambavyo hiyo ndoto yako inavyokaribia kumalizika na uzinduke usingizini...
kama wanaona mahakama za Tanzania hazitawatendea haki, waende the hague kabisa waache kutuzingua na kiswahili chao cha NJI HII
Kuna angalizo lisemalo, "mtu yeyote akikueleza jambo la kijinga na kipuuzi akafahamu kabisa jambo analokueleza ni la kijinga na kipuuzi nawe pia ukalikubali jambo hilo, basi atakudharau sana".
Hili Tamko nila kijinga na kipuuzi na kama tutalikubali wakati tunafahamu nila kijinga na kipuuzi, basi hiki kikundi kinachojiita UKAWA kitatudharau sana.
Hiki kikundi kinadai kuwa Rais Kikwete hawezi kuongoza halafu hapo hapo kinataka kikutane na Rais Kikwete.
Hiki kikundi kinadai CCM haiwezi kuisimamia serikali yake halafu hapo hapo kinataka kikutane na CCM.
Wenye hekima wanafahamu kuwa, kumpuuza mpuuzi ni adhabu inayojitoshereza.
Rais Kikwete amekipuuza kikundi kinachojiita UKAWA na adhabu ya kuwapuuza imeanza kuwaingia kwenye akili zao, ndiyo maana wameanza kupiga kelele.
Rais Kikwete aliwaambia hivi,
[video=youtube_share;7Rnlngg0x6A]http://youtu.be/7Rnlngg0x6A[/video]
Niulize tu, kwenye huo uzushi, SLAA ameingia kama nani?
nasikia yule mama mwenye macho mekundu wanamwita kijo bisimba atakuwemo kuandamana.mkuu haya makenge yanakera mpaka basi ndo maana nikamuuliza kama atamualika mama yake kwenye maandamano ili nijue yupo makini.
Mwenye
kiswahili hicho si 'mtu' wa Lumumba anayefanya kazi zenu nje ya ofisi
zenu.