Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
Hahahaha Mheshimiwa acha hizo akisema maene ndo ushawishi mkubwa kesho utataka kwenda kuhakiki afadhali aache hivyo2aisee ni vema tuaaambiana maeneo gani hayo ili tusipite pite huko si unajua ushawiishi jamaa:hungry:
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
na yakikomeshwa mavitabu ya kimilaKila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
Hakuna mtu anayependa kuwa kahaba. Ni hali ya maisha ngumu, ngumu sana. Mtu anahitaji kuishi. Kazi hakuna. La mwisho linakuwa hilo la kuingia huko ili apate tonge mdomoni. Ni shida za maisha tu. Hili wimbi halitapungua (siyo kwisha) mpaka pale maisha ya watanzani wengi yatakapoboreka. Kumbe ni tatizo la jamii nzima, si la mtu mmoja.
aisee ni vema tuaaambiana maeneo gani hayo ili tusipite pite huko si unajua ushawiishi jamaa:hungry:
mfumo dume>>ufisadi>>malezi mabovu>>elimu mbovu=UKAHABA
soma comment ya Pakamweusi unaweza kugundua ninachomaanisha!Makoyo lete hoja yenye nguvu. Biashara ya Ngono Ulaya ni kubwa mno sisi huko TZ tunaigiza. Je nako kuna mfumo dume,ufisadi, malezi mabovu na elimu mbovu? may you please come again?
wewe kama wewe umefanya nini?Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?