Ukahaba

Pierejack

Member
Nov 24, 2010
6
0
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
 
Hakuna mtu anayependa kuwa kahaba. Ni hali ya maisha ngumu, ngumu sana. Mtu anahitaji kuishi. Kazi hakuna. La mwisho linakuwa hilo la kuingia huko ili apate tonge mdomoni. Ni shida za maisha tu. Hili wimbi halitapungua (siyo kwisha) mpaka pale maisha ya watanzani wengi yatakapoboreka. Kumbe ni tatizo la jamii nzima, si la mtu mmoja.
 
Mbaya zaidi wateja ni watu wa aina na rika karibia zote, wasomi na wasiosoma, matajiri na masikini, wanandoa na wasio wanandoa, wafanyakazi na wasio wafanyakazi! Kwa hali hiyo Tanzania siitaisha?
 
aisee ni vema tuaaambiana maeneo gani hayo ili tusipite pite huko si unajua ushawiishi jamaa:hungry:
 
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?

ili kuondosha wimbi hilo ni lazima ifanyike kazi ya kuiondosha ccm na sera zake ambayo ni mfadhili mkubwa wa biashara hiyo haramu
 
aisee ni vema tuaaambiana maeneo gani hayo ili tusipite pite huko si unajua ushawiishi jamaa:hungry:
Hahahaha Mheshimiwa acha hizo akisema maene ndo ushawishi mkubwa kesho utataka kwenda kuhakiki afadhali aache hivyo2
 
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?

Maisha ya mtanzania ni magumu pia watanzania wengi hawapendi maendeleo na mageuzi, wameshazoea kuwa hivo na lugha zetu " uchumi unao unaukalia wa nini?"
 
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
na yakikomeshwa mavitabu ya kimila

Al Nisaa

24: Also women already married, except those whom your right hands possess: Thus hath God ordained against you: Except for these, all others are lawful, provided ye seek with gifts from your property,- desiring chastity, not lust, seeing that ye derive benefit from them, give them their dowers as prescribed; but if, after a dower is prescribed , agree mutually, there is no blame on you, and God is All-Knowing, All-Wise.
 
Hakuna mtu anayependa kuwa kahaba. Ni hali ya maisha ngumu, ngumu sana. Mtu anahitaji kuishi. Kazi hakuna. La mwisho linakuwa hilo la kuingia huko ili apate tonge mdomoni. Ni shida za maisha tu. Hili wimbi halitapungua (siyo kwisha) mpaka pale maisha ya watanzani wengi yatakapoboreka. Kumbe ni tatizo la jamii nzima, si la mtu mmoja.

u r right i agree with u 100%, ila tuwashauri, na sisi tupunguze kununua
 
aisee ni vema tuaaambiana maeneo gani hayo ili tusipite pite huko si unajua ushawiishi jamaa:hungry:

ww kiboko, hicho kichwa chako, u r so technical, yaani unataka urudi kinyume nyume sasa hivi, ukanunue, Ivuga u make me laugh
 
Maisha yamekuwa magumu. People have ran out of ingenuity ideas to get out of the poverty circle. The easy way ni kuwa kahaba. Siku hizi kama elimu ni haba,njia nyingine ya kutoka ni nyembamba sana maana hata kufanya biashara kunataka good brain.
 
Kwa jinsi ninavyofahamu mimi ni kuwa kuna ukahaba wa aina mbili,moja ni ule mtu anaufanya ili kujikimu na ugumu wa maisha na wa pili ni ule mtu hana shida yeyote ila anafanya kwasababu hawezi kutulia na mtu mmoja au kwa lugha nyingine waweza kuuita hobby.Huu wa kwanza kuudhibiti ni vigumu kidogo lakini kama wasichana hao wakiwezeshwa kiuchumi unaweza kupungua lakini sio kwisha maana mtu akishaanza ukahaba mara nyingi anakuwa kama teja na hawezi tena kazi yeyote ile.Huu wa pili wenyewe hauwezekaniki maana mtu anafanyia kupenda ni mpaka pale atakapochoka mwenyewe ndio atajitoa sokoni.Kwa maana hiyo basi tutake tusitake ukahaba utaendelea kuwepo no matter what we will do kwa sababu ukahaba ndio biashara kongwe kuliko biashara zote na hata biashara tunazoziona hivi leo zimeanza baada ya watu kuona kumbe unaweza kuwa na kitu na mwenzako akakitaka kisha ukamuuzia.
 
mfumo dume>>ufisadi>>malezi mabovu>>elimu mbovu=UKAHABA

Makoyo lete hoja yenye nguvu. Biashara ya Ngono Ulaya ni kubwa mno sisi huko TZ tunaigiza. Je nako kuna mfumo dume,ufisadi, malezi mabovu na elimu mbovu? may you please come again?
 
Makoyo lete hoja yenye nguvu. Biashara ya Ngono Ulaya ni kubwa mno sisi huko TZ tunaigiza. Je nako kuna mfumo dume,ufisadi, malezi mabovu na elimu mbovu? may you please come again?
soma comment ya Pakamweusi unaweza kugundua ninachomaanisha!
 
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?
wewe kama wewe umefanya nini?
 
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?

mkuu yote ni maisha, pia kuna wale wanafanya for fun, na wengine kutafuta pesa n.k
 
kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je mnafikiri tatizo ni nini na nini kifanyike kuondosha wimbi hili?

history tells us that prostitution dates as back as several centuries b.c, mtatafuta mchawi lakini hilo jambo halitokwisha, watu wanasema umaskin, je europe nako vipi, ufisadi nao unachangia nini, @least ignorance inaweza kuwa sababu japo c strong kivile, hiyo ni product ya kupanuka kwa miji, mwingiliano wa watu na kadhalika, hao wanatoa huduma kwa wageni we mtu aneingia dar leo ktk mbele unategemea apate wapi kipashio, sio wote wanaokuja na mademu zao, wengine wanakaa hadi mwaka mzima atamudu ungingi wa mwaka kwani yupo jela,............ Suala ni elimu ya kutosha na kuokoa kizazi hasa kile kinanchojiingiza ktkt biashara hiyo kutokana na social pressure
 
hichi kitu hatari sana ...
yaani mimi naona kila mzazi ale sahani moja na watoto wake.....
kwani kweli the media sasa hivi inachangia kihasi kikubwa sana kwenye hayo mambo...
kwani watu wazima hatuwezi kuwa control wanacho fanya ...
sanasana utawaeleza tu na kama hawakuelewi basi wewe umefanya uwezalo.....
utampeleka punda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji...
 
Back
Top Bottom