Ukahaba huu Temeke serikali imelala usingizi!

Wanajanvi hili la ukahaba linafanyika ktk namna nyingi sna,siyo tu vichochoroni peke tembelea kinondoni ujionee mwenyewe sehemu wanazofanya body massage humo huduma zote zinapatikana
 
Hebu tutumie akili, serikali ikifunga ile huduma watu watabaka. Ni sawa na kuzuia wamachinga. Hebu tuachieni tujinome, watani zangu wanafanya kazi nzuri sana. Na wewe mtoa mada ulifuata nini huko?

Wacha giza liingie nikapate mambo, buku 2 yangu nimeiweka tangu mwaka jana
 
Duuu nimesoma post za wadau nimechoka kabisaa.
Nimejiuliza haya ndiyo mawazo ya watu wajiitao great think??

Kwa hali hii niliyoiona kwa wadau weng kushabikia upuuzi huu hakika hata biashara ya USHOGA kama serikali itagoma kusain mkataba hakika raia wataitaka kwa nguvu zote.

Ni kweli maisha magumu lakini tumeshindwa kutafuta njia mbadala wa kuitatua mbona nyie mlio changia na kushabikia biashara hii na kudai kuwa inalipa mbona nyie hamuifanyi na hamuuzi hayo masaburi yenu??

Tuache ubwenyenye wa kushabikia upuuzi usio na kichwa wala miguu.

Naumia sana na kushindwa kuelewa kuwa ni wana jf hawa hawa wanaokuwaga mstari wa mbele kujifanya kukemea WIZI,UFISADI,UHALIFU na UBADHILIEU WA MALI ZA SERIKALI je na hizo nazo si nikazi kama kazi zingine??
Tukisema kila 1 afanye kazi atakayo na aiwezayo mwafikiri mambo ya ukataji viganja vya albino na uchunaji ngozi nayo yatashika nafasi.
 
Duh juzi kati nilienda na wife Corner Bar,nilijdai kwenda kumpa Exposure...najuta,nlpofika nyumban kibano nilichopata mpaka najijutia..nkambiwa mi mteja pale,haiwezekani nipajue...mana pale kuna watoto wa kufa mtu
 
Wanajanvi hili la ukahaba linafanyika ktk namna nyingi sna,siyo tu vichochoroni peke tembelea kinondoni ujionee mwenyewe sehemu wanazofanya body massage humo huduma zote zinapatikana

kino meneo gani niende kuona kama unayosema ni kweli? au unasema kwenye salon maalufu ya mikocheni? nielekeze mkuu? ni pale maeneo ya bakule au?. Mia
 
Ukahaba ni profeshono ya kale zaidi kuliko zote kaka,ngoja nimtafute Funzadume na Kimbweka tukatembelee Temeke na visimu vyetu vya kamera,
 
Inaelekea unanufaika na biashara hii!Ungekuwa mwanamke,inaelekea ungejiunga!Kumbe humu JF kuna MATABULARASA!

Kweli inaonyesha huyu anaejiita Mpigaji yeye mwenyewe ni kahaba.

Anafurahi kuona maasi makubwa kama haya ya kizinaa yakifanyika.

Msiba mkubwa huu.

inna lillahi wa inna ilaihi rajioon.
 
Waacheni watu watafunane ! Maisha yenyewe yako wapi ? Ufukara mtupu taifa hili damn
 
Hayo ndio maisha bora Kwa kila mtanzani na fursa za ajira za ccm,sasa we ulitakaje?waache,ajira hakuna na maisha magumu.
 
Hao makahaba waachwe waendelee haina haja ya kuwafungia kwasababu wanafanya kazi nzuri ya kupunguza mihemko ya watu kwa bei rahisi na pia hujiingizia kipato, cha muhimu wasisitizwe kutumia condom tu basi
 
Nchi za wenzetu kama france(paris) holland(amsterdam) washaruhusu kitambo tu. Mana ni jambo lisiloepukika, makahaba wapo duniani kote. Tangu enzi za manabii machangudoa walikuwepo. If you cant fight them join them.
 
Hivi mambo kama haya nayo serikali inapaswa kuhangaika nayo? kama ninhyin wateja mkikataa hii biashara, nani ataendelea kuiuza? Mnataka serikali ije iwalazimishe msiende kwa makahaba? Hilo ni suala la ninyi wenyewe kuamua tu, si mpaka serikali. Acheni serikali ifanye mambo mengine muhimu, hili la kukataa ukahaba ni ninyi wenyewe jukumu lenu

Kwa mtazamo huu maana yake pia unasema serikali isishughulike na madawa ya kulevya bali watumiaji ndo waache kununua, isidhibiti bidhaa feki zinavoingia ila wateja ndo wasinunue, isizuie vyakula vichafu vinavyoleta milipuko ya magonjwa kama kipindupindu ila wateja ndo wasiende kununua. Hivi unayajua majukumu ya serikali? Unamjua mwajiri wa serikali?
 
Inasikitisha na kuhuzunisha pale unapowaona kina Dada pamoja na kina Mama wakiwa wamejianika mithili ya nguo za mitumba mtaa wa Kongo wakijiuza kwa bei chee!Katika mtaa huu kuna eneo ambalo wanawake hawa wamekodisha vyumba kwa ajili ya biashara hii yenye kutweza na kushusha hadhi ya mwanamke!Vyumba hivi vinajitegemea kwa kuwa na milango ya nje ili kurahisisha "wateja" kuingia na kutoka bila bughudha kutoka kwa wakazi wa nyumba hizo!
Wanawake hawa bila aibu huvaa nguo fupi na kujichanua katika milango ya vyumba vyao kusubiri "wateja" wanaomiminika kwa wingi kuanzia saa moja usiku!
Muda wa mchana hali ni shwari na huwezi kujua kama kuna "biashara" chafu inafanyika katika eneo hili!
Wenye nyumba hizi kwa tamaa ya kupata fedha wanawapangisha "AKINA MAMA POA" hawa wafanye ukahaba bila kificho!
Ukahaba katika Tanzania hauruhusiwi,mamlaka husika zipo zinafumba macho kana kwamba hazioni,kuna serikali ya mtaa,kata,wilaya mpaka manispaa ya Temeke!TAMWA mnafahamu kwamba wanawake wenzenu wanajiuza kama nyama buchani pale Temeke!!Kamanda kova take this for further action kama ilivyokuwa kule "HYENA SQUARE" ambapo hali imerudi kama zamani baada ya kusambaratishwa kwa kipindi kifupi!
AKINA MAMA POA HAWA WAMETHUBUTU KUFANYA UKAHABA,WAMEWEZA NA SASA WANASONGA MBELE 2012!

Mkuu ungetupia na tupichapicha kidogo kusindikiza uzi wako,halafu temeke kubwa ungetoa location vzr ieleweke hasa ni temeke sehemu gani,pale mtaani kwa kina Nature au Temba ili dola ikafanye kaz yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom