Ukahaba huu Temeke serikali imelala usingizi!

Haki za binadamu tulizoridhia hazipingani na hilo jambo. Hayo ni maridhiano ya muuzaji na mnunuzi wa huduma na kinyume chake (pasipo hiari) ni ubakaji sheria zinakataza.
 
Maisha ni magumu bana, na pia matumizi ya madawa ya kulevya nayo yanachangia. Cha muhimu ni serikali ifany juu chini kuhakikisha ajira zina kuwepo ma kuachana na uongo wao wa kuwaambia watu wa jiajiri ilhali ukoo wao wote hakuna aliye jiajiri. Ukosefu wa ajira ni chanzo cha maovu yoote. Chagua Mabadiliko Chagua UKAWA.
 
Hujashurutishwa kutembea nao.
Cha msingi ni uwafundishe namna ya kufanya ngono salama.
Ukahaba ni utashi na maridhiano ya mtoaji na mpokeaji.
 
Inasikitisha na kuhuzunisha pale unapowaona kina Dada pamoja na kina Mama wakiwa wamejianika mithili ya nguo za mitumba mtaa wa Kongo wakijiuza kwa bei chee!Katika mtaa huu kuna eneo ambalo wanawake hawa wamekodisha vyumba kwa ajili ya biashara hii yenye kutweza na kushusha hadhi ya mwanamke!Vyumba hivi vinajitegemea kwa kuwa na milango ya nje ili kurahisisha "wateja" kuingia na kutoka bila bughudha kutoka kwa wakazi wa nyumba hizo!
Wanawake hawa bila aibu huvaa nguo fupi na kujichanua katika milango ya vyumba vyao kusubiri "wateja" wanaomiminika kwa wingi kuanzia saa moja usiku!
Muda wa mchana hali ni shwari na huwezi kujua kama kuna "biashara" chafu inafanyika katika eneo hili!
Wenye nyumba hizi kwa tamaa ya kupata fedha wanawapangisha "AKINA MAMA POA" hawa wafanye ukahaba bila kificho!
Ukahaba katika Tanzania hauruhusiwi,mamlaka husika zipo zinafumba macho kana kwamba hazioni,kuna serikali ya mtaa,kata,wilaya mpaka manispaa ya Temeke!TAMWA mnafahamu kwamba wanawake wenzenu wanajiuza kama nyama buchani pale Temeke!!Kamanda kova take this for further action kama ilivyokuwa kule "HYENA SQUARE" ambapo hali imerudi kama zamani baada ya kusambaratishwa kwa kipindi kifupi!
AKINA MAMA POA HAWA WAMETHUBUTU KUFANYA UKAHABA,WAMEWEZA NA SASA WANASONGA MBELE 2012!
Hujui wanaowakamata nao huonjeshwa ndio maana wanaendeleza biashara hiyo bila hofu
 
Ajira milion moja alizo haidi jk! viwanda wameuwa, mashamba ya serikali wamegawana utajiri wa Tanzania wanakula wachache! Ccm itoke kwanza madarakani
 
Duu hao serikali ya mitaa usikute ndo wanapo ponea hapo polisi wakienda wanapewa rushwa mbili ya hela na ya papuchi litafanyuka jambo hapo.

Mungu ibariki Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom