Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
Dada zetu hawana ajira watapata wapi mahitaji yao na huo ndio mgodi wao?
 
Pale Msamvu kuna night club inaitwa "Manyoni"...ni aibu sana.Chumba kimoja wanaingia hadi ten couples,kitanda kimoja...so dangerous
Hapo lazima ukimbie tu na hata kama ulikuwa na hamu kivipi
 
Km umeshamiri kiasi hcho,Naamini vyombo husika vinajua ila vishaamua kukaa kimya..
Sasa acha watu wajitoe Akili
 
mkuu, wewe hukufanikiwa kumega tunda?
 
tunatarajia kufanya maombi ya mkesha kwaajili ya kuvunja hio roho ya ukahaba maeneo hayo, na inasadikika ni wanafunzi wa chuo kikuu kilicho karibu.
yeah! wengi ni wanafunzi wa Morogoro Muslim University (MMU).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…