Ukaguzi wa vyakula na vipodozi sasa kufanywa na TBS badala ya TFDA, muswada wa sheria wawasilishwa bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,300
2,000
Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.

Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
 
malema 1989

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
1,310
1,500
Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.

Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Naona wafanyabiashara wakipata ahueni, TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
 
James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,699
2,000
Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.

Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Je serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
9,999
2,000
Je serikali imekosa gharama za kuiendesha TFDA?
Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribu
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,300
2,000
Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribu
Afadhali bhana mi niliona uvivu hata kumjibu!
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,255
2,000
Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.

Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Its progress lakini bado wameonyesha kigugumizi kwa kutokuuelewa vizuri mkanganyiko wanaoupata wafanyabiashara na wazalishaji mbalimbali; best way forward ilikuwa kuifuta TFDA mazima na kuhamishia majukumu yake yote TBS; si ndio maana yake Tanzania Bureau of Standards; STANDARDS across the board WITHOUT EXCEPTION!
 
Takison

Senior Member
Nov 9, 2010
171
250
Kwa kweli hii itasaidia sana hasa wafanyabiashara wadogo. Ilikuwa ukianza kuuza vipodozi lazima umalize siku TFDA ukisubiri kibali. Na lazima utoe ada, ambayo ilikuwa haipungui TSH 150,000. Bado TRA hawajaja kuchukua chao kabla hujaanza kuuza, capo bado leseni za biashara, bado vitozo vya serikali ya Mitaa.
 
Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
2,810
2,000
Tunalipa hela lkn cha kushangaza hata file la kununua kutunza doc. zako unanunua mwenyewe, ila watumishi wake wanaonekana wako njema sana dharau nyingi kupita kiasi magari ya kila aina
Hii ni kutokana na kujisahau Kwa mazoea ya "Bussiness as usual" mfano TFDA Wana Sheria moja ambayo imepitwa na wakati lakini ndio uchochoro wao mkubwa wa rushwa, ni pale Sheria inapotaka urefu wa Kati ya duka na duka la dawa kuwa umbali wa meta 100-300...sasa angalia uhalisia ukiwa mtaani utakuta maduka mawili yapo jengo moja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom