Ukaguzi wa vyakula na vipodozi sasa kufanywa na TBS badala ya TFDA, muswada wa sheria wawasilishwa bungeni

Nakubaliana na wewe kwa 100% na nilichokiona ni kwamba katika mjadala kuhusu migongano ya TBS dhidi ya TFDA basi upande wa Afya ulizidiwa kiufundi. Hili linaweza kuwa limesababishwa na uwoga wa kuwashauri viongozi au kukosa ujuzi, uzoefu na kujiamini kwa timu ya AFYA.

Nitaweka mchango wangu hapa wa chanzo cha mgongano na kipi kingefanyika.

Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kawaida Serilali na Bunge hawajashauriwa vizuri.

Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula na vipodozi. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.

Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS yapata 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.

Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.

TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.

Wakiondoa tu uwekaji wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).

Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na Drugs Regulatory Agencies ambazo ni independent from ministries of health. Tulichofanya Tanzania ni kwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 15.

TFDA tayari limekwisha pata kutambulika kimataifa kama taaaisi yenye ithibati ya WHO kwa ajili ya usajili wa dawa. Status ambayo inayo pekee katika eneo hili la Afrika kusini kwa Sahara (toa South Africa).

Kui demote kwa kiasi hicho ni ukosefu wa uelewa
Chanzo Cha muingiliano wa majukumu wa mamlaka hizi ni sheria zinazotumgwa ambazo ndo msingi wa uwepo wa mamlaka husika. Kazi za TBS zinahusu bidhaa zote za viwandani. Vifaa tiba, dawa, vyakula, vitendanishi na vipodozi ni bidhaa za viwandani.

Uwepo wa sheria ya chakula, dawa na vipodozi (Food, Drugs and Cosmetics Act) hauweki mipaka ya majukumu ya TBS iliyopewa na sheria yake ya viwango vya ubora wa bidhaa (Standards Act) eti kwavile kuna TFDA. Wala si kweli kwamba TBS ilikasimishwa majukumu ya udhibiti wa vyakula na vipodozi na TFDA. Ukweli kwamba TBS haina mipaka. Lakini pia tusisahau kwamba wakati TBS iko chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara, TFDA iko chini ya Wizara ya Afya.

Ukweli ni kwamba miaka ya hivi karibuni mamlaka hizi mbili zilikuwa Mara kwa Mara zinakaa pamoja na kukubaliana nani afanye nini au washirikiane maeneo gani. Kutokana na kuelemewa na uwingi was bidhaa za viwandani za kudhibiti, TBS Mara nyingi hufanya "delegation of powers" kwa "other competent agencies" ikiwemo TFDA kwa upande wa bidhaa za afya na tiba.

Kutokana na ushirikiano huu TFDA ilijifunza mambo mengi ya udhibiti wa bidhaa kutokana na uzoefu wa TBS,. Kwa mfano, uanzishwaji wa maabara za kupima bidhaa (testing labs) na mbinubza uhakiki wa ubora wa bidhaa zinazoingizwa toka nje ya nchi (pre-shippment verification to conformity).

Uzuri wa TFDA ni kwamba walifanya mageuzi makubwa kama mamlaka na wakaweza kujijenga hata kuipoka PHLB mamlaka ya udhibiti wa vifaa tiba na vitendanishi (medical devices and in vitro diagnostics). Na hatua hii iliwafanya TFDA kufanikiwa hata kutambulika kimataifa.

Tatizo la TFDA ni urasimu, na uwingi na ukubwa ada na tozo. Ingawa wanafanya vizuri kwenye kitengo cha dawa, bado wana kazi kubwa kujirekebisha kwenye kitengo cha Medical Devices. Lakini TFDA watambue kwamba lawama za wafanyabiashara dhidi yao zilianza pale walipoanza udhibiti wa medical devices na IVDs. Watu wa kitengo hiki ni wajivuni, wabishi na kuna mambo ya kiufundi kuhusu IVDs hawayajui vizuri ipasavyo na wagumu kubadilika.
 
Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribu
ila kwa sasa serikali inatakiwa kuanzisha kurugenzi ya Quality and Food Safety huko TBS kushughulikia tu chakula na dawa ili kuhakikisha kwamba vyakula vyote vinavyoliwa Tanzania vina nembo ya ubora "TBS Mark of quality" huu ni uthibitisho wa ubora na usalama wa chakula.
 
Tunalipa hela lkn cha kushangaza hata file la kutunza doc. zako unanunua mwenyewe, ila watumishi wake wanaonekana wako njema sana dharau nyingi kupita kiasi magari ya kila aina
TFDA ilikuwa kibiashara sana, taasisi chini ya wizara ya afya inatowa kibali cha kufanya biashara ya vyakula?, inawajengea wajasilia mali uwezo wa kutengeza chakula bora?
 
Serikali imewasalisha bungeni muswada wa sheria wa kuyaondoa majukumu ya ukaguzi wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyapeleka TBS.
TFDA itabadilishwa jina na kubakiwa na jukumu la kusimamia ubora wa madawa
Mawasilisho ya muswada yamefanywa na naibu waziri wa fedha.

Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Sawa kabisa.Ni kama TFDA iliundwa ili kuwapa watu ulaji hivii.Hongera Magufuli tulishakuwa fedup na hizi duplication za kijinga.Tuta-save hela hapo.Bravo awamu ya tano.Tulishapiga kelele wee,lakini wapi.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100% na nilichokiona ni kwamba katika mjadala kuhusu migongano ya TBS dhidi ya TFDA basi upande wa Afya ulizidiwa kiufundi. Hili linaweza kuwa limesababishwa na uwoga wa kuwashauri viongozi au kukosa ujuzi, uzoefu na kujiamini kwa timu ya AFYA.

Nitaweka mchango wangu hapa wa chanzo cha mgongano na kipi kingefanyika.

Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kawaida Serilali na Bunge hawajashauriwa vizuri.

Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula na vipodozi. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.

Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS yapata 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.

Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.

TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.

Wakiondoa tu uwekaji wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).

Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na Drugs Regulatory Agencies ambazo ni independent from ministries of health. Tulichofanya Tanzania ni kwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 15.

TFDA tayari limekwisha pata kutambulika kimataifa kama taaaisi yenye ithibati ya WHO kwa ajili ya usajili wa dawa. Status ambayo inayo pekee katika eneo hili la Afrika kusini kwa Sahara (toa South Africa).

Kui demote kwa kiasi hicho ni ukosefu wa uelewa
Umeandika vizuri kabisa. Sijui ni nani kawashauri kufanya hivi na sijui ni kwa manufaa ya nani?

Kwa kweli kuwapa majukumu ya kuweka viawango na kudhibiti lazima kutakuwa na conflict of interest.Serikali iliwaachia sana TBS kufanya majukumu yasiyo yao kwa kujidai wanacheck viwango.

Usually, Standards (Viwango) haviko binding ni voluntary. Ni hiyali ya mtu kuvitumia. Kampuni au mtu hawezi kulazimishwa kutumia viwango vya TBS.Hii ina maan kuwa naweza kuwa Bongo nikatumia viwango vya RSA au Kenya. Haikuwa sahihi kuwa kila mzigo au chakula kinachoingizwa Tanzania lazima kiangaliwe na TBS kama kinameet viwango. Swala hili lilikuwa ni la TFDA kuhakikisha kuwa ni salama na hakiko adulterated. Hata wakati ule wa mafuta ya kula bandarini nilishangaa sana kuona TBS, TFDA na TRA wote wanang'ang'ania kupima mzigo.

Tatizo lilopo ni serikali wameanzisha agency nyingi ambazo haziewezi kujiendesha zenyewe. matokeo yake kila moja inakuwa inatafuta mbinu ili kujiongezea mapato. matokeo yake ndiyo kunakuwa na kuingiliana kwenye majukumu.

Kama ulivyosema badala ya kuboresha tumeamua kuharibu .....!!
 
Nakubaliana na wewe kwa 100% na nilichokiona ni kwamba katika mjadala kuhusu migongano ya TBS dhidi ya TFDA basi upande wa Afya ulizidiwa kiufundi. Hili linaweza kuwa limesababishwa na uwoga wa kuwashauri viongozi au kukosa ujuzi, uzoefu na kujiamini kwa timu ya AFYA.

Nitaweka mchango wangu hapa wa chanzo cha mgongano na kipi kingefanyika.

Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kawaida Serilali na Bunge hawajashauriwa vizuri.

Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula na vipodozi. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.

Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS yapata 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.

Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.

TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.

Wakiondoa tu uwekaji wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).

Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na Drugs Regulatory Agencies ambazo ni independent from ministries of health. Tulichofanya Tanzania ni kwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 15.

TFDA tayari limekwisha pata kutambulika kimataifa kama taaaisi yenye ithibati ya WHO kwa ajili ya usajili wa dawa. Status ambayo inayo pekee katika eneo hili la Afrika kusini kwa Sahara (toa South Africa).

Kui demote kwa kiasi hicho ni ukosefu wa uelewa
Wewe Utakuwa mwanasheria wa TFDA, na unatetea ujira wako hapo.

Kwanza kabisa, TFDA kiutendaji kwenye chakula wanatekeleza karibia 90% ya kile TBS wanafanya.

Ukisema TFDA aangalie ubora na usalama na TBS aangalie kama bidhaa imekidhi viwango huko ni kudanganya watu.

Hakuna usalama na ubora bila Standards/viwango.

Ili bidhaa iwe salama na bora tunaangalia microbs contents, viwango vya madini hatar, na additives zingine.

Sasa TFDA walikuwa wanakagua hizo mambo kujihakikishia kama zimekidhi viwango vinavyokubalika, na bidhaa hiyohiyo itaenda TBS na kukagua kama imekidhi viwango vyao...

TFDA anakagua premises ya chakula na kusajili, TBS nae anakagua jengo vilevile...

Usifananishe TGDA ya Tz na FDA ya Marekani. FDA ya marekani ana dili na bidhaa za chakula pia sio zote, kama nyama, mayai, kuku FDA haihusiki nayo bali ni wizara ya kilimo na mifugo. Isipokuwa Maziwa ndio FDA anaregulate.

Pia FDA ya marekani wao wana andaa standards na kuzisimamia, yofauti na nyie mnao chukua standards TBS na kuzisimamia.

Nimefanya field TFDA na TBS nikiwa chuo, nakiri kabisa wote mnatekeleza majukumu sawa. Kuna kiwanda kimoja bidhaa zake zilipita vizuri kwenye maabara ya TFDA lakini zikagoma kwenye maabara ya TBS.

Ukiangalia katika EAC, nchi zote hazina mamlaka kama TFDA, wao wana mamlaka kama TBS

Kiufupi, mimi nilikuwa na Options mbili katika hili,
1. Kuhamisha mandates za TBS hasa kwenye chakula na kupeleka TFDA. TFDA waandae standards (najua asilimia kubwa huwa tunakopi na kupaste toka kwa wenzetu). TBS ingedili na bidhaa ambazo si chakula.

2. Kuiondole TFDA kusimamia chakula na kuiachia TBS.

Kweli option namba mbili ndio imetekelezwa.

TFDA mligeuka TRA, maofisa wenu wakifanya ukaguzi sio katika kuboresha bali mlikuwa mpo kwenye kuonesha uwezo wenu wa kufunga biashara za watu. Mkija mnakuja mmevimba na makoti kama madaktari.

RIP TFDA,
 
Nakubaliana na wewe kwa 100% na nilichokiona ni kwamba katika mjadala kuhusu migongano ya TBS dhidi ya TFDA basi upande wa Afya ulizidiwa kiufundi. Hili linaweza kuwa limesababishwa na uwoga wa kuwashauri viongozi au kukosa ujuzi, uzoefu na kujiamini kwa timu ya AFYA.

Nitaweka mchango wangu hapa wa chanzo cha mgongano na kipi kingefanyika.

Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kawaida Serilali na Bunge hawajashauriwa vizuri.

Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula na vipodozi. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.

Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS yapata 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.

Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.

TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.

Wakiondoa tu uwekaji wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).

Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na Drugs Regulatory Agencies ambazo ni independent from ministries of health. Tulichofanya Tanzania ni kwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 15.

TFDA tayari limekwisha pata kutambulika kimataifa kama taaaisi yenye ithibati ya WHO kwa ajili ya usajili wa dawa. Status ambayo inayo pekee katika eneo hili la Afrika kusini kwa Sahara (toa South Africa).

Kui demote kwa kiasi hicho ni ukosefu wa uelewa
Na hapa ndipo mlipoangukia, nikutoe wasiwasi tu kwamba wawakilishi wa TFDA hawakukosa ujuzi au kuzidiwa nguvu na TBS wakati wa majadiliano yaliyopelekea kuhamisha vyakula na vipodozi viwe chini ya SHIRIKA LA VIWANGO. Kazi hii wataalamu wa TBS na TFDA waliifanya kwa weledi mkubwa na kwa kujali masilahi ya afya za binadamu, wanyama, na mazingira ila kilichotokea uwezo wa TFDA kiujumla ulikuwa mdogo kudhibiti vyakula na vipodozi pamoja na kelele nyingi za kujitangaza. Mfano TFDA akishapima bidhaa ya chakula au kipodozi kwa ajili ya registration, itakuchukua tena miaka mitano ndiyo ulazimike kupima tena! huoni huku ni kuua watu? iliyokuwa TFDA ilikuwa na mapungufu mengi sana kiutendaji, pona ya watanzania ilikuwepo kwa TBS ambayo hupima kila bidhaa mpya inapozalishwa na pia kila batch provided huyo mteja ana nembo ya ubora au la. Serikali iliangalia mambo mengi sana na ninataka kukanusha tena hakuna ukurupukaji hapa. KUMBUKA WAZIRI MKUU ALIAMUA KUFANYA VIKAO NA KUTEMBELEA TBS na TFDA makusudi ili aone utendaji wao.

Kuhusu kuandaa viwango hapa mkuu umepotosha, TBS wanaratibu uandishi wa viwango, viwango vinaandaliwa na wataalamu wabobezi katika bidhaa husika wakiwemo wazalishaji, academia, watafiti na wadhibiti ubora. Kiuhalisia TBS ni custodian wa standards wa viwango. kwenye kamati ya uandaaji viwango yenye watu tisa ni mmoja tu kutoka TBS. WENGINE WOTE NI WATAALAMU KUTOKA NJE wakiwemo hao TFDA
 
Usually, Standards (Viwango) haviko binding ni voluntary. Ni hiyali ya mtu kuvitumia. Kampuni au mtu hawezi kulazimishwa kutumia viwango vya TBS.Hii ina maan kuwa naweza kuwa Bongo nikatumia viwango vya RSA au Kenya. Haikuwa sahihi kuwa kila mzigo au chakula kinachoingizwa Tanzania lazima kiangaliwe na TBS kama kinameet viwango. Swala hili lilikuwa ni la TFDA kuhakikisha kuwa ni salama na hakiko adulterated. Hata wakati ule wa mafuta ya kula bandarini nilishangaa sana kuona TBS, TFDA na TRA wote wanang'ang'ania kupima mzigo.
Kama ulivyosema badala ya kuboresha tumeamua kuharibu .....!!
uwelewa wako ni mdogo sana kuhusu umuhimu wa standards, na ndiyo maana TFDA walikuwa hawatumii viwango kudhibiti bidhaa, unadhani viwango kama visingekuwa na umuhimu mataifa yote duniani yangelazimika kuwa na NATIONAL BUREAU OF STANDARDS? Huwezi kuwa na maziwa bora na salama kama hauna kiwango, huwezi kuwa na nchi ya viwanda kama hauna viwango, huwezi kufanya biashara ya ushindani kama hauna viwango vyako, NIMEKUSHANGAA SANA KUSEMA KAMPUNI INAWEZA KUTUMIA VIWANGO VYA RSA au Kenya KUZALISHA BIDHAA NCHINI. HILO HALIWEZEKANI NA NDIYO TUNALOLISIMAMIA TBS LEO MPAKA KESHO. JE UNAJUA BIDHAA INAWEZA KUWA SALAMA LAKINI SIYO BORA? HIYO NDIYO KAZI YA TBS.
 
Sidhani kama serikali imekosa hela ya kuiendesha TFDA ila siku hizi taasisi nyingi za serikali zimekua kimapato zaidi yani zimekua zinatozo nyingi sana hivyo katika kuondola mlolongo wa tozo nyingi serikali imeona majukumu hayo yapelekwe TBS na ukiangalia vizuri TBS na TFDA zinafanya kazi zinazoingiliana kwa ukaribu

Unadhani mwanzo hawakuliona hili Mkuu ?
 
uwelewa wako ni mdogo sana kuhusu umuhimu wa standards, na ndiyo maana TFDA walikuwa hawatumii viwango kudhibiti bidhaa, unadhani viwango kama visingekuwa na umuhimu mataifa yote duniani yangelazimika kuwa na NATIONAL BUREAU OF STANDARDS? Huwezi kuwa na maziwa bora na salama kama hauna kiwango, huwezi kuwa na nchi ya viwanda kama hauna viwango, huwezi kufanya biashara ya ushindani kama hauna viwango vyako, NIMEKUSHANGAA SANA KUSEMA KAMPUNI INAWEZA KUTUMIA VIWANGO VYA RSA au Kenya KUZALISHA BIDHAA NCHINI. HILO HALIWEZEKANI NA NDIYO TUNALOLISIMAMIA TBS LEO MPAKA KESHO. JE UNAJUA BIDHAA INAWEZA KUWA SALAMA LAKINI SIYO BORA? HIYO NDIYO KAZI YA TBS.
Wewe ndiye mwenye uelewa mdogo kuhusu kazi za Bureau of Standards na ISO. Pia nakushangaa hujui kuwa unaweza kutumia standards za nchi nyingine kuzalisha bidhaa katika nchi nyingine!!

Nchi kama RSA Bureau of Standards (SABS) iko independent na imekuwa commercialized. When I say commercialized, it means they are doing business not regulatory works.

narudia tena Standards are not legal binding. Iwe za ISO, Codex etc. Standards are always and have always been voluntary. Kama unataka kufanya international trade unatakiwa kumeet requirements za lile soko unaloliuzia au nchi. Ndiyo maana kila nchi ina standards zake au zimeadopt other international standards kama ISO. Sasa huwezi kuwa unazalisha product kwa ajili ya EU halafu ukatumia standards za TBS. Ndiyo maana nimesema as a producer I have a choice to choose which standards I will use. Siyo lazima nitumie standards za TBS na pia naweza kuzalisha bila kutumia any standards provided that my product is edible and safe for human consumption na imekuwa approved by a regulatory body. Na anayetakiwa kudetermine hili ilikuwa awe TFDA. TBS was not meant to be a regulatory body unless they have been legally given that function for a particular product. Narudia tena, hakuna standard yeyote hata ya ISO ambayo ni mandatory. Kama unaijua mojawapo nitajie hapa.

Vileviel, Codex standard which are food standards ziko kwa ajili ya kumodarate international trade kwa wanachama wa WTO. Kama kuna dispute kati ya nchi then zinaweza kutumiwa.

Najua wakati TBS inaanzishwa walikuwa wana campaign kwa producers kuregister product zao na TBS. Sijui kwa sasa kama sheria ya TBS imebadilika au ndiyo hiyo wanataka kuibadilishwa kwa kuwapa madaraka ya TFDA. Kuregister TBS ilikuwa ni kuwapa assurance wateja wako kuwa product yako inatambulika kuwa na viwango flani. Kwa jinsi ilivyokuwa hawakutakiwa kupanga criteria in food mfano microbiological criteria. Sasa kama tafuta nchi yeyote duniani wana standard inayospecify microbiological criteria in foods. Kama ipo hata ya TBS nitajie ...!! In short Standards are not Regulatory requirements.

Ngoja niishie hapa kwa sasa ...... Beer time!!
 
Naomba niingilie haya majadiliano.Mr. Zero kama ilivyo ID yako, huelewi unachokisema na unajichanganya, hasira zako zote nadhani ni TBS kuongezewa majukumu mapya ya kusimamia chakula na vipodozi, huna jipya hapa zaidi ya masilahi binafsi. Kwa msaada tu serikali inaweza kufanya maamuzi yoyote bila kujali maneno ya wapumbavu wachache kama wewe. Usimamizi wa chakula, vipodozi na hata dawa serikali inaweza kuwapa JWTZ mandate ya kusimamia na mambo yakawa mazuri kuliko uliokuwa usanii wa TFDA wa kupenda masilahi kuliko uhai na masilahi ya taifa hili. Cha msingi hapa ni utashi wa serikali katika kuwasaidia watanzania na si kuifurahisha taasisi fulani au mtu.
 
Ukifuatilia huu mjadala kwenye huu uzi utagundua wachangiaji wengi hawana taarifa sahihi na wanatoa maoni yao kwa mihemko kuliko uhalisia
 
Naomba niingilie haya majadiliano.Mr. Zero kama ilivyo ID yako, huelewi unachokisema na unajichanganya, hasira zako zote nadhani ni TBS kuongezewa majukumu mapya ya kusimamia chakula na vipodozi, huna jipya hapa zaidi ya masilahi binafsi. Kwa msaada tu serikali inaweza kufanya maamuzi yoyote bila kujali maneno ya wapumbavu wachache kama wewe. Usimamizi wa chakula, vipodozi na hata dawa serikali inaweza kuwapa JWTZ mandate ya kusimamia na mambo yakawa mazuri kuliko uliokuwa usanii wa TFDA wa kupenda masilahi kuliko uhai na masilahi ya taifa hili. Cha msingi hapa ni utashi wa serikali katika kuwasaidia watanzania na si kuifurahisha taasisi fulani au mtu.
Wewe hujui kilichojadiliwa unadandia treni kwa mbele. Sasa wewe kujiita majeshi ndiyo jina la maana!!?

Tatizo unafikiri kila anayechangia humu yuko TBS au TFDA hivyo ana interest flani. Kwa taarifa tu, siyo kila mchangiaji yuko Bongo!!

Unaongea kwa hasira na chuki na kushambulia watu bila sababu za maana. Eti TFDA wanapenda maslahi kuliko uhai na masilahi ya taifa hili. Ni kitu gani ambacho TFDA walikuwa wanashindwa kukifanya TBS watakifanya.
 
Back
Top Bottom