BoastingKingdom
New Member
- Nov 1, 2008
- 2
- 0
Why Nairobi and not Dar? 🙁
In my opinion the reason given is not good enough.
Cause Nairobi has got one of the latest New system in streamlining UK Visa Processing unlike in Dar it's comce comsa.
Why Nairobi and not Dar? 🙁
In my opinion the reason given is not good enough.
Ubalozi wa Nigeria hapo Washington DC ulimtaka Bwana Gates atoe ushahidi kuwa ana pesa za kutosha kutumia atakapokuwa Nigeria ili asije akashindwa kujikimu na kuwa mzigo kwa serikali ya Nigeria. Ilibidi bwana Gates akatafute statement inyoonyesha kuwa ana raslimali zenye thamani ya dola Bilion 52 ndipo ubalozi ukampa viza ya kuingilia Nigeria.
Hiyo ndiyo reciprocity yenyewe,
10.Current visa fees are:
Six months Multiple Entry Visit Visa - Tsh 156,000
Long term Validity Visit Visa: 1 year, 2 years, 5 years and 10 years multiple visit visas; Working Holiday Makers; Work Permits; Employment; HSMP; Certificate of Entitlement - Sh 492,000
Medical Visa - TSh 156,000
Student Visa - TSh 238,000
Direct Airside Transit Visa (Not allowed to leave airport) and Visit in Transit Visa - TSh 108,000
Settlement and Marriage visas - TSh 1,236,000
Na zamani, (mpaka early 90s) tulikuwa tunapewa Visa pale pale Heathrow.
Sasa imekuwaje tena? Ni kitu sisi waTanzania tunafanya/tunajifanyia sio?
Nakubaliana nawe,lile sakata la wazanzibar ndio linatupa matatizo yote haya.Haya maswala yalianza baada ya baadhi ya Watanzania kujilipua(kuomba hifadhi za kisiasa-ukimbizi) nchini Uingereza kwa kisingizio cha kutokuwa na amani nchi baada ya uchaguzi wa mwaka 1995.
Haya maswala yalianza baada ya baadhi ya Watanzania kujilipua(kuomba hifadhi za kisiasa-ukimbizi) nchini Uingereza kwa kisingizio cha kutokuwa na amani nchi baada ya uchaguzi wa mwaka 1995.
Wanigeria sio wenzetu wale nakwambia. Hawanyeyekei mzungu hata siku moja. Babu kubwa!!
Hawana lolote hawa, sio hawa wanaoshirikiana na Andrew Young kuwaibia Wa-Nigeria na ile Sullivan ambayo hata sisi tunaupanda mkenge, wote tuko sawa tena hawa wako nyuma sana maana mpaka leo bado wanauziana vipande vya mwili wa binadamu sokoni Abuja, eti ni baabu kubwa hawa?
Wanazimia sana na wazungu hawa Wa-Nigeria, ambao ndio waliowaulia Abacha na Abiola, ili wachukue mafuta vizuri huko Nigeria, hawana lolote hawa ni Wadosi tu kama sisi!
Pamoja na hayo Mzee wa Dataz still, how do you explain fact that they had him present all the docs, as they would with any other average Joe?
Give 'em props when due!
Ubalozi wa Nigeria hapo Washington DC ulimtaka Bwana Gates atoe ushahidi kuwa ana pesa za kutosha kutumia atakapokuwa Nigeria ili asije akashindwa kujikimu na kuwa mzigo kwa serikali ya Nigeria. Ilibidi bwana Gates akatafute statement inyoonyesha kuwa ana raslimali zenye thamani ya dola Bilion 52 ndipo ubalozi ukampa viza ya kuingilia Nigeria.
Pamoja na hayo Mzee wa Dataz still, how do you explain fact that they had him present all the docs, as they would with any other average Joe?
Give 'em props when due!
Today 02:22 AM
Swali ni je walifanya hivyo kwa kuwa ni sheria au walikuwa wanajikweza na kutaka sifa kama kawaida yao?
By the way, mbona umepotoea sana mkuu vipi?
Haya maswala yalianza baada ya baadhi ya Watanzania kujilipua(kuomba hifadhi za kisiasa-ukimbizi) nchini Uingereza kwa kisingizio cha kutokuwa na amani nchi baada ya uchaguzi wa mwaka 1995.
John Bradshaw said:The difference from previously is that from 1 December your visa application will be assessed by our staff in Nairobi instead of in Dar. This could take up to 3 weeks