UK Visas To Be Processed In Nairobi

Tanzania: Ukombozi ni baada ya Kizazi cha 1940-1950 kufa kisiasa

HEBU tuone kama Serikali hii ya chama hiki inaweza ikawa kidume kama Rwanda na kuwaambia Waingereza kwamba kuanzia sasa viza kwa watu wao wanaokuja Tanzania, na kwamba viza hizo zitatolewa Sweden, Netherlands na Ujerumani tu.

Lakini nina hakia lambalamba wetu hawana ubavu huu. Ni kina hewala bwana, lala tu kafiri apite huna la kuonekana mwanmme mbele ya wanaume acha tuuu. Inauma! Lakini tufanye nini jamani????
 
Utawala mbovu wa Tanzania ndio unaosababisha yote hayo! Serikali inawakumbatia Al shabaab ili kujihami kisiasa. Tanzania haina heshima tena katika medani za kimataifa. Hata Israel imekwishatamka juzi kuwa Tanzania ni nchi isiyo na maana yoyote. Hili ni tamko kali sana na lenye athali za kidiplomasia! Kwa utawala huu tulinao,huko tunakoelekea, si ajabu Tanzania ikahusishwa na ugaidi wa kimataifa!
 
Let us translate this into economics point of view. Calculate 8000 people, the number of days spent on their hotels and various services to the day of departure. Hizi zote tunaziacha kwao.
 
Let them process even on mars,who cares? Kwa mali tulizonazo nchi hii tulipapaswa kujidai lakini kwa sababu tuna viongozi wa ovyo ovyo ndio maana nchi inadharaulika.
 
We might give it names but may be we are using our system as a bench mark! This is a wrong approach, you can't use an ineffecient system like the one we have in Tz to set pace for others.

Restructuring of systems is a common thing and I don't think there is a problem as long as the new system is just as efficient as the old one. We don't need to ask why Nrb and not Dar because even Kenyans would be asking the same questions if it was the other way. But if you listened to the Officer, NRB has more applicants than Dar!
bac wafunge ubalozi wao hapo dar, kama vipi nasisi tuondoe utaratibu wa visa on arrival kwa waingereza au tuwape wiiki 6 za kitanzania.
Natamani huu upupu wangempelekea Nguli Mugabe:A S embarassed:
 
hawa mabwege wanafanya cuts kila sehemu kuokoa uchumi wao, kama vipi nasisi tuongeze gharama za visa ziwe kama zao ukiingia UK Border Agency | Home Page kichwa kinawweza kukupasuka ukiangalia gharama na kipato halisi cha mtanzania
 
halafu kuna nchi kibao za kusini mwa Afrika, nazo wakazi wake itawabidi waende Pretoria!
 
Why Nairobi and not Dar? :(
In my opinion the reason given is not good enough.
Yaaaap we are irrelevant because we can't protect what is ours. Am about to explode with anger for being subjected to fools for Leaders.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom