Ujumbe wangu wa leo asubuhi huu hapa chini

Ujumbe wangu wa leo asubuhi huu hapa chini

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
996587_205531519612993_895750225_n.jpg
 
Masikini wanatembea kwa umbali mrefu kutafuta chakula. Wakati Matajiri wanatembea umbali mrefu kwa ajili ya kupunguza tumbo na kufanya mazoezi hiyo ndio tofauti kubwa kabisa mkuu Mentor
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana maana hapa nilipo watu wanafurika kwenye sport centers ili kupunguza matumbo.
 
Masikini wanatembea kwa umbali mrefu kutafuta chakula. Wakati Matajiri wanatembea umbali mrefu kwa ajili ya kupunguza tumbo na kufanya mazoezi hiyo ndio tofauti kubwa kabisa mkuu Mentor

'a coin has two sides mzee...'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom