Ujumbe wangu huu kwa wanywaji ulevi

Ujumbe wangu huu kwa wanywaji ulevi

Hahahahhahahaha kama sie tunaopenda pilipili mie hata uniambie nini kuhusu madhara ya kula pilipili sielewi..sawa na kua unampigia mbuzi gita

Pilipili haina madhara bali ina faida nyingi sana na mojawapo kubwa mwilini hiyo "early warning system", mfano, ukiwa na matatizo ya tumbo ukila pilipili inakujulisha kuwa tumbo lako haliko sawa, halikadhalika kwa kifua, moyo, kichwa na vinginevyo.

Kula pilipili kwa wingi. Mimi hata vitumbua nakula na chatni ya nazi kwa pilipili.
 
ehhh hii kiboko kitumbua na chatni ya pilipili unamaanisha kitumbua cha kuku au kitumbua cha kawaida?
 
Pilipili haina madhara bali ina faida nyingi sana na mojawapo kubwa mwilini hiyo "early warning system", mfano, ukiwa na matatizo ya tumbo ukila pilipili inakujulisha kuwa tumbo lako haliko sawa, halikadhalika kwa kifua, moyo, kichwa na vinginevyo.

Kula pilipili kwa wingi. Mimi hata vitumbua nakula na chatni ya nazi kwa pilipili.

Nyumbani kwetu vitumbua vinaenda kwa chai. Sasa hii sijawahi kuona,chai na pilipili?.
 
Hapa juzi wametangaza eti 40% of road accidents caused by alcohol,sasa ndo hapo nimepigwa na butwaa kumbe hii 60% ya ajali hizi zte imesababishwa na stupids who just drink cocacola,fanta,juice,mineral water and other soft drinks. ------- kabisa

Mkuu hii imetisha zote
 
Fikira anguko la uchumi kwa walevi kuacha pombe
Viwanada vyote vya Bia na ma Spirits vikifungwa, wanaofanya kazi huko itakuwaje????

Na Maids Je????????
 
Umenikumbusha mimi nilipokuwa mtoto mkate wa kumimina haushuki kama sijaupaka siagi ya blueband..

Aaaah, ni wangapi humu wanaeujuwa mkate wa kumimina? Nna uhakika aliyekuwa akikupikia ni nyanya'ko (bibi).
 
Wewe mwenyewe hata haujaelewa hichi ulichopost.

Hahahaha umenifurahisha. Why am i not a lawyer!!.
Unafikiri nimeweka Thread pasipo na kujuwa faida zake? Kwani mimi ni mlevi? wewe inaonyesha unatumia hivyo vinywaji vya hapo vilivyosemwa. ulitaka nikutafsiria kila kimoja kilichowekwa hapo kwenye Thread yangu ndipo upate kujuwa nimeweka kitu gani?
 
Hapa juzi wametangaza eti 40% of road accidents caused by alcohol,sasa ndo hapo nimepigwa na butwaa kumbe hii 60% ya ajali hizi zte imesababishwa na stupids who just drink cocacola,fanta,juice,mineral water and other soft drinks. ------- kabisa

ha ha ha ha
 
Mimi Pombe nachukulia kama chakula tu.

hivi R-OH ndo mbaya kwenye hiki kinywaji au? na alcoholic group haipo kwa vyakula vingine?
 
..........
 
Attachments

  • 1380278847553.jpg
    1380278847553.jpg
    18.1 KB · Views: 134
Back
Top Bottom