Ujumbe wangu huu kwa wanywaji ulevi

Ujumbe wangu huu kwa wanywaji ulevi

walevi ndio wanaendesha nchi kwa kodi wanayolipa through drinking.. We hushangai budget ya nchi kila mwaka vinywaji vinapaa bei
 
Wanaweka barafu eti wasilewe haraka kumbe ndiyo wanajimaliza taratibu! Hata RedBull na jamii zake ikichanganywa na kilevi cha aina yoyote huathiri moyo,maini,figo na ubongo taratibu huku mlevi akijipa matumaini ya kuwa Redbull hupunguza makali ya pombe na kuongeza nguvu mwilini!
 
Ngoja kwanza nikastue na Kilimanjaro moja ya bariiiiiidi, kisha nitarudi nikusikilizeni!
 
Hawata acha hata kidogo si unajuwa Pombe ina utejakwa watumiaji.

jombaa kweli pombe ni tatizo vijana tujifunze tusipinge ukweli mimwenyewe mnywaji,ila nilikuwa mlevi tena wakupindukia kila aina yakinywaji nilikuwa na kunywa,moja wapo ni value ,viroba,bia tena eagle na changanya ,sito sema mengi mpaka sasa nina matatizo ya figo ,naombeni misaidie nifanya je? asante mtoa mada,
 
DJ karudi tushalala hahahahahha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom