Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,899
Sikio la kufa halisikii dawa......
Hawata acha hata kidogo si unajuwa Pombe ina utejakwa watumiaji.Haya tusubiri hao watumiaji tuone wana maoni gani..
Hawata acha hata kidogo si unajuwa Pombe ina utejakwa watumiaji.
Hahahahhahahaha kama sie tunaopenda pilipili mie hata uniambie nini kuhusu madhara ya kula pilipili sielewi..sawa na kua unampigia mbuzi gita
Asante kwa kuthibitisha kwamba kumbe alcohol ni salama zaidi ya soda uwapo barabarani.Hapa juzi wametangaza eti 40% of road accidents caused by alcohol,sasa ndo hapo nimepigwa na butwaa kumbe hii 60% ya ajali hizi zte imesababishwa na stupids who just drink cocacola,fanta,juice,mineral water and other soft drinks. ------- kabisa
Hapa juzi wametangaza eti 40% of road accidents caused by alcohol,sasa ndo hapo nimepigwa na butwaa kumbe hii 60% ya ajali hizi zte imesababishwa na stupids who just drink cocacola,fanta,juice,mineral water and other soft drinks. ------- kabisa
Tuko wengi banaaa mie chakula bila pilipili wala sikifurahii naona kama kuna kiungo muhimu sana kiasi.
Aisee kumbe ni ice ndio ina madhara sio hizo pombe kali?