Ujumbe wa Sugu kwenye Msiba wa Mzee Mwinyi huu hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,273
219,511
Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya.

Kwamba Baada ya Mwinyi kuchukua madaraka akarahisisha njia za waliotaka kwenda Ulaya , badala ya kuzamia walianza kuomba Viza , utaratibu ambao awali ulikuwa kama siri ya viongozi na watoto wao .

 
This nigga is a real Ganstar
 
Leo alivaa vito vya thamani gani
 
Mwinyi kawagungua macho wa Tanganyika. Wakinunua subuni kwa foleni, nguo vifaranga na kuvaa suti ilikuwa kosa la jinai. Dawa mswaki ukionekana nayo wewe mhalifu. Kuja huyu akaweka nuru sana Tanganyika. Nikiandika sana wajuvi watasema mimi mdini. Lkn waislam wakiongoza huwa wanahuruma hasa wakifiria maisha baada ya kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…