Ujumbe wa Fr. Kitima kwa wanaotaka aondoke TEC, 'Wasubiri, labda nife leo, bado nina mwaka na nusu'

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima.

"Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu bila kumsaliti, Mungu wetu ni mmoja na maaskofu wetu wanawahubiria watu wote neno la Mungu kwa sababu tuna Mungu mmoja na mkombozi mmoja wa wanadamu anaitwa Yesu" Padri Charles Kitima.
G81P3xtX0AAd80W.jpg
 
Taarifa mbaya sana hii kwa viroboto wote wanaomchukia Padre Dr. Kitima huku wakiwa hawana sababu zozote zile za msingi.
 
"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima.

"Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu bila kumsaliti, Mungu wetu ni mmoja na maaskofu wetu wanawahubiria watu wote neno la Mungu kwa sababu tuna Mungu mmoja na mkombozi mmoja wa wanadamu anaitwa Yesu" Padri Charles Kitima.
View attachment 3519468
Amen
 
Back
Top Bottom