Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Teh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?
Get your copy mate!
images
 
Hivyo vingine karibu kila mwanaume anajitahidi kuvitimiza. Hutu tuvitu tudogo tudogo mnatupuuzia sana tena especially mkishaoana. Wenzenu tunavipenda kweli
Nimeanza kusoma ili niwaelewe, ndio niko page ya 1254 volume 1

images
 
Teh teh..Mnaona mlivyo wabahili..Care za kutumia pesa hamtaki kuzisikia teh
Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc teh

Daddy kumtumia ma mdogo text " baby nimekumiss sana, I love you so much". Jioni huyo umemchukua, bae let's go jogging, weekend mnaamua mpike wote (mjikute mnaacha mpira sasa teh), siku mashetani yako yameamka vizuri unamuandalia mama breakfast khaaaa ni sh ngapi hapo mmetumia?
 
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!

Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!

Ujumbe wenyewe

"
HII INAUMUHIMU KWAKO

Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".

Huyo Mauki itakuwa kashamaliza kusoma hii manual....
images
 
Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc teh

Daddy kumtumia ma mdogo text " baby nimekumiss sana, I love you so much". Jioni huyo umemchukua, bae let's go jogging, weekend mnaamua mpike wote (mjikute mnaacha mpira sasa teh), siku mashetani yako yameamka vizuri unamuandalia mama breakfast khaaaa ni sh ngapi hapo mmetumia?
Hii ni special kwenu wakishua...sisi tunaokaa nyumba za kupanga vyumba sita wakazi 42 hayo hayawezekani....
 
Nisaidiwe? Nikikufuma unaamia huko huko.
Wanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu

Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..

Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
 
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".[/QUOTE]

kwa nini mtu ang'ang'anie kuolewa au kuishi na mtu asiyefaa? Si uondoke ukaishi kwa hao wenye hivyo vigezo?

Pesa itaendelea kuwa namba moja kama msingi wa mahusiano hasa kwa wanawake wa mijini; suala la kujali au kutosheleza litapigiwa kelele pale tu akapokuwa amesolve matatatizo yake kwa kupata hizo pesa toka kwa mwanaume.

Kila siku humu JF tunasoma jinsi watu wanavyosaliti ndoa zao na jinsi kila mtu anvyojifanya fundi na mwema wa kumridhisha mwenzi wake lakini kilio cha haniridhishi hakikomi.
 
You want everything....money,attention,affection,A-game and everything......i guess YOU[women] offer same or more in return!!!
kwenye mapenzi hatuinvest bana, so we don't expect anything in return. Sometimes kuna vitu tunawafanyia simply because nyoyo zetu zinafurahia kufanya hivyo, na unaweza kuta ni Vitu ambavyo nyie mmevichukulia poa. Kuna vitu tunatamani kweli mtufanyie ila ndo hamna habari, as a result sisi tunaamua tuwafanyie nyie sasa and tunakuwa satisfied
 
Nimeanza kusoma ili niwaelewe, ndio niko page ya 1254 volume 1

images

Hahaha Jitahidi tu utuelewe, ndipo utakapokuwa na amani hapo baadaye. It's not difficult to please us eti lol
Hii ni special kwenu wakishua...sisi tunaokaa nyumba za kupanga vyumba sita wakazi 42 hayo hayawezekani....
Kwani jogging unafanyia hapo nyumbani? Kumtumia text nayo ni hadi uwe na nyumba yako? Afu si huwa una ile budget yako ya buku 10, mpeleke coco akale mihogo na mishkaki ya nyau teh. Wewe zingua tu hapa
 
kwenye mapenzi hatuinvest bana, so we don't expect anything in return. Sometimes kuna vitu tunawafanyia simply because nyoyo zetu zinafurahia kufanya hivyo, na unaweza kuta ni Vitu ambavyo nyie mmevichukulia poa. Kuna vitu tunatamani kweli mtufanyie ila ndo hamna habari, as a result sisi tunaamua tuwafanyie nyie sasa and tunakuwa satisfied
Aisee kumbe....
 
Hahaha Jitahidi tu utuelewe, ndipo utakapokuwa na amani hapo baadaye. It's not difficult to please us eti lol

Kwani jogging unafanyia hapo nyumbani? Kumtumia text nayo ni hadi uwe na nyumba yako? Afu si huwa una ile budget yako ya buku 10, mpeleke coco akale mihogo na mishkaki ya nyau teh. Wewe zingua tu hapa
Unanitania wewe...nitoke tandale nikapige jogging coco! Halafu mchana kutwa nimebeba zege,kisa?!
 
The Greatest mistake ni kumtazama mwanamke kwa mtazamo wa 'WANAWAKE HUFANYIWA a, b, c'.. Hakuna general formula ya kudeal na wanawake...
Remember:
Kila individual is unique so treat every individual according to their individual character NOT according to how you STEREOTYPE them
 
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!

Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!

Ujumbe wenyewe

"
HII INAUMUHIMU KWAKO

Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".
Anatuharibia dada zetu
 
Kwani care ni lazima utumie hela daddy? Zawadi zetu kuu huzijui kwani boxer, mashati etc teh

Daddy kumtumia ma mdogo text " baby nimekumiss sana, I love you so much". Jioni huyo umemchukua, bae let's go jogging, weekend mnaamua mpike wote (mjikute mnaacha mpira sasa teh), siku mashetani yako yameamka vizuri unamuandalia mama breakfast khaaaa ni sh ngapi hapo mmetumia?
Teh teh..Bora hata hivyo vidogo basi muwe mnanunua..Hamna kitu...

Hayo mahaba nayahifadhi kwa emergency use..we unataka nitumie silaha zote zen siku ikitokea vita nifanyaje(joking)...Nwei hayo mahaba yanategemea na mtu na mtu..Mwingine hata awe anampenda mwanamke vipi hawezi kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom