Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 411
duh,mi sipendi kumnunulia demu zawadi wala sitaki surprise yeyote.nataka plan/great ideas.
Vizawadi na surprise kwa michepuko inawezekana. Lakini kwa mkeo inakuwa ngumu.Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!
Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!
Ujumbe wenyewe
"
HII INAUMUHIMU KWAKO
Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".
Hivi ni msomi?Dr. Mauki unajidhalilisha mno kwa namna unavyojipamnbanua kwenye ulimwengu wa wasomi. Yaani tunakutofautishaje na kina MC Pilipili, Gea n.k (too low). Hebu jitafakari upya tulitegemea tuki-google jina lako tuone Papers ulizopubl;ish kwenye International Journal sio hizi tambo za kinamama hapa nchini na kuitwa kwenye vipindi vya KITCHEN PARTY. Dr. Mauki aibu aibu aibu
Hahaahar ndio kabisa wapo ili waliweSioni tatizo kama wengi wao wamekubaliana naye.
Kama wewe haujakubaliana naye sioni tatizo pia.
Tatizo lako kwa huyo Chris nadhani ni hapo unaposema kuwa "anawala" sana wanawake japo mimi bado sioni tatizo akiwala kwasababu moja ya sababu za uwepo wao ni kuliwa.
Mind is the first thing to be stimulated, mi hata kuwe na ufundi wa PHD kama mind haijawa stimulated sitafurahia chochote. Na hizo mind stimulators ni hayo yote anayoyaongea Dr Mauki.Kuna part nakubaliana na wewe.
Ufundi wa kitandani ni muhimu ila kama kwingine huwezi kubalnce kwakweli ni ngumu kuvumilia....wanaume wakituelewa mbona rahisi sana tatizo wamekariri