Hahahaha kimsingi hamna tatizoSioni tatizo kama wengi wao wamekubaliana naye.
Kama wewe haujakubaliana naye sioni tatizo pia.
Tatizo lako kwa huyo Chris nadhani ni hapo unaposema kuwa "anawala" sana wanawake japo mimi bado sioni tatizo akiwala kwasababu moja ya sababu za uwepo wao ni kuliwa.
Kuna part nakubaliana na wewe.Umeongea point saana chris mauki utakuta mwanaume mwengine kazi yake kukusisitiza mnaonana lini ili ale mzigo ukimwambia naomba unisaidie anasema mambo yangu hayajakaa vizuri inapita miezi lakini kutaka kuonana nawewe yupo radhi atoe chochote kile ila kukusaidia wewe hata kama unatatizo hatoi ela yake hata kidogi kila siku yeye mipango yake haijakaa vizuri.. pesa ina nafasi kubwa katika mahusiano zawadi lakini mwanaume sahivi ampe mwanamke wake zawadi anaumia roho sembuse pesa labda unashida sahau kabisa sahivi tunapenda mtu anayetujari2 kutumika tena sahivi big NOO ufundi wa kitandani peke yake hatutaki onyesha mapenzi kila sehem kuna baadhi ya wanaume hata vocha2 roho inamtoka anaona hasara
Word umemaliza kila kitu hamna cha ziada cha kuongezeaWanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu
Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..
Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
Kwanza heshima yako Mr mauki. Unachosema huenda ni sahihi lakini kwa jinsi maisha yanavyotupeleka puta!!! Ebu kausha kwanza usiwakumbushe itakua shida huku majumbaniNimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!
Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!
Ujumbe wenyewe
"
HII INAUMUHIMU KWAKO
Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".
Teh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?"Some little things matter the most ". It's not even hard to please us lol.
Mnaweza mkawa mnaishi kwenye nyumba nzuri, mkeo utamnunulia gari nzuri, atavaa, atakula vizuri, unampa hela ya kutosha, lakini bila ya kumfanyia vicare vidogo vidogo ataona kama hajakamilika vile. Vile vitu ambavyo nyie mnaviona vya kipuuzi, sijui vya tamthilia ndo vinavyotupa raha wenzenu. Tufanyieni tu jamani mwee, Msisahau kama sisi ni watu wa hisia sana. We want your attention, affection, appeciation etc
Hivyo vingine karibu kila mwanaume anajitahidi kuvitimiza. Hutu tuvitu tudogo tudogo mnatupuuzia sana tena especially mkishaoana. Wenzenu tunavipenda kweliTeh teh..Leo mtasema caring ndo mpango mzima,mgegedo waachie porno stars.....Zen kesho mnasema mwanaume bora akose pesa lakini sio uwezo kwa bed..Yani hamueleweki..kwani mna undugu na kinyonga?

Haya bana...Ila hata sisi tunavipenda..Hivyo vingine karibu kila mwanaume anajitahidi kuvitimiza. Hutu tuvitu tudogo tudogo mnatupuuzia sana tena especially mkishaoana. Wenzenu tunavipenda kweli![]()
![]()
Sie tunajitahidigi kweli kuwacare, mnaenjoy tu peke enu teh tehHaya bana...Ila hata sisi tunavipenda..
Teh teh..Sijui mnatucare vipi wakati pesa zenu uwa hamtaki kabisa zitumikeSie tunajitahidigi kweli kuwacare, mnaenjoy tu peke enu teh teh
Hahaha Mnataka care za hela jamani? Si mkitoka kazini mnavuliwa hadi soksi, mnabebwa kuoga eti teh, mnalishwa wenyeweTeh teh..Sijui mnatucare vipi wakati pesa zenu uwa hamtaki kabisa zitumike
You want everything....money,attention,affection,A-game and everything......i guess YOU[women] offer same or more in return!!!"Some little things matter the most ". It's not even hard to please us lol.
Mnaweza mkawa mnaishi kwenye nyumba nzuri, mkeo utamnunulia gari nzuri, atavaa, atakula vizuri, unampa hela ya kutosha, lakini bila ya kumfanyia vicare vidogo vidogo ataona kama hajakamilika vile. Vile vitu ambavyo nyie mnaviona vya kipuuzi, sijui vya tamthilia ndo vinavyotupa raha wenzenu. Tufanyieni tu jamani mwee, Msisahau kama sisi ni watu wa hisia sana. We want your attention, affection, appeciation etc
Teh teh..Mnaona mlivyo wabahili..Care za kutumia pesa hamtaki kuzisikia tehHahaha Mnataka care za hela jamani? Si mkitoka kazini mnavuliwa hadi soksi, mnabebwa kuoga eti teh, mnalishwa wenyewe
Tunajitahidi sana ila sio rahisi kama mnavyofikiria,tutafika tuKuna part nakubaliana na wewe.
Ufundi wa kitandani ni muhimu ila kama kwingine huwezi kubalnce kwakweli ni ngumu kuvumilia....wanaume wakituelewa mbona rahisi sana tatizo wamekariri