Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Yeah sure daddy, Kila mtu ana style yake ya kupenda. Na sio wanawake wote wanapenda little things kama douta hapa. Ila msitunyime bana, kudekezwa raha mweeee[emoji86] [emoji87] [emoji85] [emoji85]Teh teh..Bora hata hivyo vidogo basi muwe mnanunua..Hamna kitu...
Hayo mahaba nayahifadhi kwa emergency use..we unataka nitumie silaha zote zen siku ikitokea vita nifanyaje(joking)...Nwei hayo mahaba yanategemea na mtu na mtu..Mwingine hata awe anampenda mwanamke vipi hawezi kufanya hivyo