Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

Dr. Mauki unajidhalilisha mno kwa namna unavyojipamnbanua kwenye ulimwengu wa wasomi. Yaani tunakutofautishaje na kina MC Pilipili, Gea n.k (too low). Hebu jitafakari upya tulitegemea tuki-google jina lako tuone Papers ulizopubl;ish kwenye International Journal sio hizi tambo za kinamama hapa nchini na kuitwa kwenye vipindi vya KITCHEN PARTY. Dr. Mauki aibu aibu aibu
 
Nahisi mke wa Mauki ana raha sana, mume hana michepuko, anamjali mkewe nk, natumai haya anayoandika ndo anayomtendea mkewe, hahahaha!
 
Mauki kuwa MC wa Kitchen Party ni chini sana kwa msomi wa Hadhi yako. Kwa nini usijikite kwenye kazi za kutumia akili zaidi?
 
Nahisi mke wa Mauki ana raha sana, mume hana michepuko, anamjali mkewe nk, natumai haya anayoandika ndo anayomtendea mkewe, hahahaha!
Mimi nimetoka kuiangalia hio couple Jana,she seems happy ila hapo kwa Chris kutokucheat mmh,bottom line she is happy,raha sana...
 
Dr. yake ni kama ile ya mfalme mstaafu au zile za kainerugaba msemakweli au ya pale Biafra?
 
Criss Mauki anajifanya Dr wakati ni Dr uchwara.....
Ni Dr pekee Tanzania kwenye hayo mambo

Acha zarau kama ujui kitu
Dr. Mauki unajidhalilisha mno kwa namna unavyojipamnbanua kwenye ulimwengu wa wasomi. Yaani tunakutofautishaje na kina MC Pilipili, Gea n.k (too low). Hebu jitafakari upya tulitegemea tuki-google jina lako tuone Papers ulizopubl;ish kwenye International Journal sio hizi tambo za kinamama hapa nchini na kuitwa kwenye vipindi vya KITCHEN PARTY. Dr. Mauki aibu aibu aibu
Hiyo ni biashara dada, kuwa muelewa
Mauki kuwa MC wa Kitchen Party ni chini sana kwa msomi wa Hadhi yako. Kwa nini usijikite kwenye kazi za kutumia akili zaidi?
Ni mwalimu UD pale, unataka afanye kazi wapi?
Dr. yake ni kama ile ya mfalme mstaafu au zile za kainerugaba msemakweli au ya pale Biafra?
Kasomea South Africa, yupo vizuri mkuu
 
Ukweli mtupu, japo hiyo sio kwa wanawake tu hata wanaume wanapenda hizo suprise na zawadi
Hapa tumeenda sawa dada yangu hakuna kiumbe asie penda pet hata awe na nguvu kama big show au undetaker wote mkilijua hilo dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Ukiwa huna hela unadharaulika ukiwa busy kuzipata hela hawakutaki sasa nyie wadada mnataka nini has a? Toa hivyo vizawadi vidogo halafu uwe huna uwezo wa kuwafanyia makubwa.Anyway wanaume tumeumbwa mateso.
Umefikiria mbali sana.
 
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia ndoa/familia kwa mahitaji yote ya msingi lakini haufanyi surprises kama vile kumnunulia mwanamke vitu vidogo vidogo kama pipi, hereni basi wewe mwanaume hufai! Ameenda mbali kwa kuonyesha kumridhisha mwanamke sio issue, kikubwa ni kumjali. Kumjali kulikosisitizwa na wanawake kwa mjibu wa comments zao ni cheap surprises!

Hawa ndio wanawake wa karne hii, wakati wewe unapambana na mambo mazito yenye tija na sustainability kwa maendeleo ya familia, yeye anakupima kama unampenda kwa kusubiria surprises za pipi, chocolate, chicken burger, etc. Hajui kwamba unaweza kuwa hata hukumbuki hayo kwa sababu maisha yanakupeleka puta ili yeye aishi maisha mazuri/standard ya kupata mahitaji yote ya msingi na kufanya maendeleo!

Ujumbe wenyewe

"
HII INAUMUHIMU KWAKO

Siumeskia wenzako wanasema mwanamke anataka mtu anayejua kufanya mapenzi? Sasa wewe wekeza muda na akili yako kujenga mwili na kutafuta mbinu za kumfurahisha mkeo kimapenzi tu wakati vitu vingine vidogo vidogo vinakushinda kuvifanya au unaviona sio vyamaana. Utaachwa na mastaili yako yasio na tija. We ujuzi umewekeza tu kwenye kuijua mechi, ukiambiwa kumjali mwenzako unatoka kapa, kumshirikisha mambo yako hujui, kumprotect dhidi ya ndugu zako huwezi, mama yako na dada zako wamekuweka kiganjani na bado unaona hilo ni sawa, akiomba umsaidie kitu kidogo unaona shida, vijizawadi na vijisapraizi navyo ndio kabisaaa umefeli. Ndugu yangu hayo maujuzi yako ya mechi peleka kwenye maonyesho saba saba, huyu dada wawatu atakushindwa mapemaaa, maana haumfai kwa kulumangia wala kwa kunywa - Chris Mauki
"
Responses za wanawake ni nyingi na zimefagilia ujumbe huu, karibu kila mmoja akimalizia na kionjo "ufundi peleka maonyesho sabasaba au veta".



Sometimes zina msaidia kupata kick za kitaa, siunajua tena, ili upate mabinti wazuri lazima uwe na mada nzuri za kuwa pamba.... Binafsi sidhani eti mapenzi ni upande mmoja kwangu najua ni pande zote, the same feelings women have are the same to man, but mnapokua matured enough mnancho takiwa ku dumisha mapenzi yenu huku mkiangalia ni namna gani mtaishi kwa furaha zaidi baadae, na hii itawezekana katika ushirikiano katika utafutaji na uwekezaji pasipo kua na tabaka la ku onekana kupendwa au kuto pendwa.....
 
Mapenzi hayana formula yawe kwenye ndoa au mahusiano ya kawaida.
Unaweza kufanya surprises zote unazozijua ie weekend zanzibar, movies, holiday mombasa nk kama umpi ukuni wa kutosha siku akipata bwege akamkuna ipasavyo imekula kwako. Mwanamke anatakiwa aridhike basi japo kwa wengi ni changamoto kubwa kwakuwa huwa wanabadilika badilika.

Ukuni kwa kweli lazima ukolee moto hivi hivi heshima hamna na hizo suprises zote itakuwa = work done is equally to zero
 
wanawake ni shida usipoweza kumshindilia nii shida kama huna hela ni shida ss wanajifanya kusapoti hiyo nadhalia ya ni vijisapraisi,hii haiingi akili abadani.
 
Maisha ya ss ni hela na mshindo bac kama hakuna mwanamke anayetaka mwanaume wa vijisapraisi uchwara utaachwa mara moja!hayo yanafanywa na wanaojidai wanaishi kizungu na wana kila kitu.Ss jaribu uone mtoto mkali alfu unamtembeza na daladala ukipiga kimoja ndo mpaka mwezi ujao kisa unamoelekea vi chokoleti utarudi kwenye uzii huu niambie matokeo mzeee!
 
Umeongea point saana chris mauki utakuta mwanaume mwengine kazi yake kukusisitiza mnaonana lini ili ale mzigo ukimwambia naomba unisaidie anasema mambo yangu hayajakaa vizuri inapita miezi lakini kutaka kuonana nawewe yupo radhi atoe chochote kile ila kukusaidia wewe hata kama unatatizo hatoi ela yake hata kidogi kila siku yeye mipango yake haijakaa vizuri.. pesa ina nafasi kubwa katika mahusiano zawadi lakini mwanaume sahivi ampe mwanamke wake zawadi anaumia roho sembuse pesa labda unashida sahau kabisa sahivi tunapenda mtu anayetujari2 kutumika tena sahivi big NOO ufundi wa kitandani peke yake hatutaki onyesha mapenzi kila sehem kuna baadhi ya wanaume hata vocha2 roho inamtoka anaona hasara
Tabia uliyoielezea hapa kutuhusu wanaume naona km ulikuwa unanisema mimi..! Yaani hizo ndo tabia zangu 100%. Nafurahi kumbe nna tabia nzuri,acha niendelee nazo. Sipendi kuombwa hela na mwanamke....!!
 
Wanaume wengi mmekariri mkishatafuta hela mkanunua chakula, mavazi na malazi mmemaliza kila kitu

Sisi tunapenda attention, mtupe muda wenu na mtujali pia...usipofanya hivyo utashangaa unasaidiwa na mtu ambaye hata sio level yako na ndo utabaki kusema wanawake hawaeleweki..

Jifunzeni kubalance mambo yaende pamoja...mfn.haina maana umpe mke/mpenzi wako pesa na kumjazia mafuta kwenye gari akiwa mgonjwa aende hospital bila wewe kumsindikiza..haina maana kumpa hela akanunue nguo na wakati hata siku moja hujawahi kumwambia mke/mpenzi wangu leo umependeza jioni jiandae twende dinner....haina maana kumpa hela afu akikosea kidogo tu unampiga...haina maana mkeo anakupikia,anakufulia kila siku but hujawahi kuapreciate hata siku moja etc.
Tatizo mna mahitaji mengi mnooooo......acha nifanye kwa kiasi mengine nitamuachia Mungu.
 
Back
Top Bottom