Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Kwani yee ndo mtu wa kuachwa

Anashindwa akomae kutafta pesa analilia mademu
demu ameolewa mda sana anashindwa ku move on!
Kisha akishaipata hiyo pesa afanyie nini na yeye shida yake ni Monika ambae alishawahi kumnyandua akiwa hata hana pesa. Kuna watu wanapesa lakini hawapati hitajiobla moyo wao. Pesa sio ndio kila kitu
 
Status inakaa maneno mengi hivyo? Then balimaanisha nini aliposema hataki aone mitandaoni
Ningekua na namba zako za whatsapp ningekutumia ujionee mwenyewe as alianza kupost video zake alipokua dubai kwenye honeymoon then akapost wimbo wa mapenzi yanauma w harmonize akapost anaaga anasema kwaherini ya mwisho ndo hilo gazeti la monica
 
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;

"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

SIONI TENA MAANA YA MAISHA . MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU . Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.

Huyo Karibu Kabila gani?
 
1. Jamaa ni mjinga sana kujiua.
Yani Marehemu ni mpumbavu sana.

2. Eti kujiua kwa sababu alikuwa anatembea na mke wa Masanja ni uongo sana.
Yani wametegea huyo bwege amejiua ndio waanze kuzusha.

TAZANIA INA WAJINGA WENGI SANA.
Wewe sio Masanja?


Hii comment yako ni ya kujifariji kabisa.

Umeshaambiwa mkeo alikuwa anapigwa pumbu na katibu,

Badala ya kutoa maamuzi as a man,
Unajifariji kwa kusema marehemu ni mwongo.,
Mzushi,,


Dah,,,,,mapenzi bhana!!!!!!
 
Inaonesha monica Ni mtamu....on a kaka anavuolalalmika kwenye barua
Mpaka anajiua sio bure penzi la Monica lilimpa depression kubwa.
 
Back
Top Bottom