Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
du mzigo kama huo unaupata ushatoka life unamweka rais unayemtaka
Hata wewe kamanda???Hahahaaaaaaaaaaaaa! Aisee hata mie nilikuwa nawaza kwamba kwa mzigo kama huu, huna haja ya kuhangaika tena. Unashusha maghorofa (property estate) killa mji then unakula pensheni yako mpaka kufa na hata politics unaachana nazo, na unaamua ku mute kama Bakhressa vile!
Haya majamaa yana hela kuliko serikali mbili za Tanzania ukizichanganya pamoja!
Huo ndio ulimwengu Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Umafya huoooooooooooooooo
Hivi kumbe haya madude yana thamani kuliko dhahabu.Haya ni majaribu kwa kweli.