Colombia yamfukuza balozi wa Israel na kumtaka kuomba radhi .

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Baada ya majibizano makali kati ya balozi wa Israel nchini Colombia na serikali ya Colombia hatimaye Colombia imeamfukuza balozi huyo.

Rais wa Colombia alienda bali zaidi na kukumbusha kuwa HAMAS iliundwa na MOSSAD huko zamani kwa ajili ya kuigawa Palestine. Hili lilimkwaza balozi huyo na kuanza kushambuliana na viongozi wa serikali.

More:
Colombia is demanding the expulsion of Israel's ambassador following a heated diplomatic dispute over Israel's intensive bombardment of Gaza. President Gustavo Petro drew a parallel between Israel's actions in Gaza and those of Nazi Germany, declaring “we do not support genocides.” He also accused Mossad of creating Hamas.

“Those who previously said that I support the FARC (former Revolutionary Armed Forces of Colombia) are now saying the same about Hamas. Hamas was conceived by Mossad under the pretext of dividing and punishing the Palestinian people. The dialogue between honorable people has been replaced by apartheid, oppression, despair, and bloody terrorism. What they really want is to expel and destroy the Palestinian people from their ancient lands,” Petro said.

Colombian Foreign Minister Alvaro Leyva expressed the view that the ambassador should, at the very least, issue an apology and leave the country. Israeli envoy Gali Dagan has been one of the harshest critics of the president.
 
Naona SIRI zinaanza kufichuliwa 😂😂 HAMAS ni minyago kilicho chongwa na Mchonga, kinataka kumtisha mchonga😂😂 ndio maana mchonga amekuwa mkali

Mataifa Mengi huwa yanaweka mapandikizi na propaganda kibao ndani yake

Dunia ina mambo mengi sana
 
Hamas waliiunda wenyewe kwaajili ya kumpunguza makali yaasir arafat, matokeo yake wamekuja watu wengine wamewageuka.
 
Baada ya majibizano makali kati ya balozi wa Israel nchini Colombia na serikali ya Colombia hatimaye Colombia imeamfukuza balozi huyo.

Rais wa Colombia alienda bali zaidi na kukumbusha kuwa HAMAS iliundwa na MOSSAD huko zamani kwa ajili ya kuigawa Palestine. Hili lilimkwaza balozi huyo na kuanza kushambuliana na viongozi wa serikali.

More:
Colombia is demanding the expulsion of Israel's ambassador following a heated diplomatic dispute over Israel's intensive bombardment of Gaza. President Gustavo Petro drew a parallel between Israel's actions in Gaza and those of Nazi Germany, declaring “we do not support genocides.” He also accused Mossad of creating Hamas.

“Those who previously said that I support the FARC (former Revolutionary Armed Forces of Colombia) are now saying the same about Hamas. Hamas was conceived by Mossad under the pretext of dividing and punishing the Palestinian people. The dialogue between honorable people has been replaced by apartheid, oppression, despair, and bloody terrorism. What they really want is to expel and destroy the Palestinian people from their ancient lands,” Petro said.

Colombian Foreign Minister Alvaro Leyva expressed the view that the ambassador should, at the very least, issue an apology and leave the country. Israeli envoy Gali Dagan has been one of the harshest critics of the president.
Fukuza huyo kima
 
Back
Top Bottom