Ujumbe mfupi ..

Dah nasema thanks sana na wewe nakutakia ubarikio, pia nawe usije sahau kushukuru Mola wako kila uonapo siku tenda mema kila siku...
 
hapa hakuna haja ya mtabiri wa nyota,
unavyoonekana mtu kwenye hiyo avatar yako
ni mtu mwenyestahimili sana,
na wabibi ndo wanapendaga.

Haaaaaaaaaa???????????????? We ni Sheikh Yahaya ama???
Umejuaje??? Mie ndo nilikuwa kipenzi chake chake............Mibaraka kibao.
Una kesi ya kujibu kwanini hukuja kumzika??? Mamndenyi
 
afrodenzi Umenistua and nimestuka kweli kweli...Only six month mwaka uishe..na kamkataba kanaisha ka kazi ... Duu...

Thanks kwa kunikumbusha.
mimi naishi mwezi mmoja nyuma? mbona naona kama nimebakiza miezi saba? au kalenda yangu ipo nyuma?
 
mimi naishi mwezi mmoja nyuma? mbona naona kama nimebakiza miezi saba? au kalenda yangu ipo nyuma?
oi Nadhani Utakuwa ume count Mwezi June wote(1) July wote(2) August wote(3) September Wote (4) October wote (5) November wote (6) December Wote (7) Ila Kwa Hapa AD amehesabia june kwa ujumla ndio mwezi wa katikati ya Mwaka hata mimi ndio niaminivyo... Ukisema umekula Wali haijalishi umekula vijiko viwili au hamsini...
Ungekuwa unatizama michezo haswa soccer Dakika inapoanza kama ni moja na kuna tukio likatokea huesabiwa ni la dakika ile inayofuatiwa kama ni ya 5 na sekunde 20 basi kwenye report ni tukio litasemwa lilitokea dakika ya 6
ndio maana katika masaa Noon ni 12:00 pm tu na baada ya hapo zikaondezeka sekunde ni After noon.

Ni Mtazamo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…