Ujumbe mfupi ..



Kwani huamini AD?

Basi ngoja nisema kwa sauti kubwa kwamba Babu DC really missed afrodenzi!!!!

Babu na Bibi wote ni mzima sana...Namshukuru mungu huyu mdau wangu hajaanza kuzeeka vibaya!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Thanks Afrodenzi, Much appreciated for the caring, love and sweet words. Same goes to you!! GOD be and guide you in every step of your life!
 
Bismailahi naanza, Kwajina la Mwenyezi
Samahani kama nimekuwaza, wangu ninae kuenzi
Nilikuwa bize vigwaza, shamba kulitenzi
Ndio maana ukaona giza, sikujibu yako tenzi

Ujembe wako umefika, uliojaa mapenzi
Ujumbe ulotukuka, wenye furaha uondoao simanzi
Kweli mwaka unafutika, kama maisha ya sisimizi
Maneno yako nimeyashika, tatabasabu hata kwenye usingizi

Ila watu wamepigika, wanamaisha ya simanzi
Hali zao ni kutaabika, nchi imejaa walanguzi
Tabasamu linagubika, kupunguza makunyazi
Mwingine amekuwa kibaka, kwa hila ya Mkurugenzi

Sitasema mengi mwisho nimefika
Mungu akipenda tutaonana ukifika......................


Na
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…