Ujumbe kwa wanaume

Inasema usizini hebu km una Bibilia hapo nenda mwisho wa Biblia yako kwenye tafsiri ya maneno uone hilo neno kwenye Biblia lina maanisha nini na nani walikuwa wanahusika nalo kati ya wanaume na wanawake.!! Halafu utarudi kuniambia..
Mkuu hebu usinichoshe kuhangaika kutafuta andiko ambalo halipo hakuna andiko linalomruhusu mwanaume kumsaliti mkewe wala kuoa mke zaidi ya mmoja ila nimeshakwambia kuna maandiko yamekataza uzinzi bila kuspecify jinsia

Mfano kuna hilo la usizini kuna andiko linasema ndoa na iheshimiwe na watu wote wazinzi na waasherati Mungu atawahukumia adhabu kuna andiko linasema usitamani mke wa jirani yako tena hiyo ni amri na kuna andiko linasema aziniye na mwanamke hana akili tena hapo kwenye hayo maandiko mawili ya mwisho ndo nimekufunga kabisa maana hapo anayeongelewa ni mwanaume
 
Amri ya 9. Usitamani mwanamke asie mke wako
 
Kwahiyo mwanamke akichepuka ndo familia itakuwa ya hovyo ila mwanaume akichepuka familia inakuwa bora?
Sijamanisha mwanaume achepuke no! ,mwanaume akichepuka ni utasi wake mwenyewe wapo wengi walioa wanajiheshimu na wanachukulia kuchepuka Kama dhambi kubwa na wanaheshimu ndoa zao, alafu kitendo Cha mwanamke kuchepuka kwa gia ya mwanaume anachepuka hapo ndoa itakuwa mtaro wa dampo linalozoa kila uchafu.
 

Asante sana kwa ujumbe wako murua, ubarikiwe na wanaloga kweli kweli
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii comment yake imenichekesha sana[emoji3][emoji3][emoji3] watu wamejidhatiti sasa utakutana na mtu nae mwanga ndo utakapokoma.
Wakiambiwa K zingine zina meno hawaelewi
 
unafaa kuwa mke una sifa stahiki
 
Anaponea wapi kama sio kudanga...
Kuna mtu anaweza kukaa miaka na miaka bila kunywela sidbani

Anyway huhitaji mtoto?
Mkuu siyo kila binadamu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na watu masikini Mungu anangemfanya kila mtu awe tajiri ili awe na maisha mazuri sababu hakuna mtu anayependa maisha mabaya

Ndivyo ilivyo ili maisha yabalance lazima kuwe na waliopata na waliokosa hivyo basi siyo kila aliyekuja duniani atahitaji kuwa tajiri, kufanya tendo la ndoa, kuoa/kuolewa wala kuzaa ndo maana nikakwambia usikariri maisha
 
Sawa
 
Kama michepuko inawapunguzia hasira na kusababisha ndoa idumu sasa kwanini mnawadharau wanawake wanaotembea na waume za watu?
Mkuu,nilishakuambia mwanamke usijilinganishe na mwanaume.
Akili zetu haziko sawa.
Wala ashki zetu hazipo sawa.
 
Hivi, umeolewa?
Naona una mawazo fulani ya very unique world ambayo haipo kwa maisha uliyopo.
You are lying to yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…