Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,376
Ni msemo wa kwetu uzaramuni.....mazowea tuu ya matumizi yake unaweza pia kuutumia popote unapotaka kuonesha kukerekwa na jambo fulani.Hilo neno nimechoka mie...
linamaanisha nini Mkuu?
mbadala wake unaweza kusema nishavurugwa au nimevurugwa.